kwakweli mimi sijaelewa mabadiliko ni nini ni kutoa taarifa kuwa kifurushi chako kijmekaribia kuisha au maana kuna voda wanakula GB1 kama wapo uswahilini sherehe kwa jirani dah.
hapo nakumbuka badi sijaambiwa GB1 elftatu iv ninyi mnaijua elfatu ningi Buku 3 nzima elf tatu dah
Akina dada tambueni kuwa matarajio makubwa kwa wazaza wenu nikwamba mwanao aje ajenge familia bora baadae maana yake ninini MWANAMKE inatakiwa kuwa na MTAZAMO unao focus maisha yako ya baadae jenga MTAZAMO wako kwakufanya yafuatayo
1. Tambua wewe ni mama wa familia baadae. Ukisha litambua hilo...
Tunatengeneza Business Card aina zote, logo, vitabu vya risiti, kava za vitabu na mabango makubwa ya biashara kisha unatumiwa kwenye email yako au WhatsApp popote ulipo itakufikia.
Unatuma SMS kwa namba 0755750792 au 0623727260
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.