Mwanamke mtazamo!!

Dec 6, 2019
7
63
Akina dada tambueni kuwa matarajio makubwa kwa wazaza wenu nikwamba mwanao aje ajenge familia bora baadae maana yake ninini MWANAMKE inatakiwa kuwa na MTAZAMO unao focus maisha yako ya baadae jenga MTAZAMO wako kwakufanya yafuatayo
1. Tambua wewe ni mama wa familia baadae. Ukisha litambua hilo tutakuwa na heshima na utu katika jamii inayokuzunguka
2. Tambua wewe ndie mjenzi wa kwanza wa familia yako. Wanawake wengi wanadhani kuwa familia unajengwa na baba hapana MWANAMKE mpumbavu huivunja nyumbayake mwenyewe lakini MWANAMKE mwelevu huijenga kwa mikono yake mpende wakwako mshuri nini cha kufanya
3. Jenga mazingira yakuwa mama mbunifu. Wanawake wengi wanadhani ubunifu nikugundua mtindo mpya wa nywele au nguo jibu ni hapana MWANAMKE anaye jitambua atajitahidi kubuni mbinu za kuyajenga maisha
4. Tambua wewe ni wathamani usidharirishe thamani yako
5. Tambua ww ni namba moja katika kuyajenga maisha yako
6. Elewa nini umuhimu wako katika jamii

Love you all my sister

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom