Kwa wanao hitaji mafuta ya Mnyonyo

Queenbety

Member
Jan 10, 2017
20
9
Mafuta ya Mnyonyo ni dawa ya asili inayo tibu maradhi mengi kwa binadamu pia hutumika kurefusha nywele na kuilinda ngozi. Jipatie kwa bei nafuu.... Kwa mawasiliano zaidi 0675078843/0765734842
 
BeautyPlus_20160921163540_fast.jpg
 
Mafuta ya Mnyonyo ni dawa ya asili inayo tibu maradhi mengi kwa binadamu pia hutumika kurefusha nywele na kuilinda ngozi. Jipatie kwa bei nafuu.... Kwa mawasiliano zaidi 0675078843/0765734842
Weka ufafanuzi zaidi juu ya matumizi yake, wengine hatuna idea.
Weka bei
 
Ila yana harufu ya kuhitaji uvumilivu sisi kwetu tulikuwa tunapewa kama dawa ya kusafisha tumbo kijiko kimoja cha chai unaharisha siku nzima harufu yake we acha tu si mbaya ya kuudhi ila haijakaa vizuri
 
Weka ufafanuzi zaidi juu ya matumizi yake, wengine hatuna idea.
Weka bei
Bei ni 10000/ mils200
Kwa afya yanatumika kwa mgonjwa alie paralyze, maumivu kwenye joints, maumivu ya uti wa mgongo, kiuno nk, maumivu ya tumbo la hedhi.
Namna ya kutumia: kwa maumivu ya hedhi unsjipaka kwenye kitovu. Na maumivu ya uti wa mgongo, joints, kiono nk unajimassage.
Pia huondoa chunusi na kulainisha ngozi hasa wanaojichubua kisha ngozi ikaharibika ukitumia mafuta ya mnyonyo ngozi inarudi ktk hali ya kawaida.
Pia hutumika kurefusha nywele za asili na zenye dawa.

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom