Kufanya kazi na mtu/uongozi usiokuwa na imani nao ni busara kujiuzulu(kuachia ngazi) ili uonesha kuwa huna imani na serikal yako na kuonesha m,simamo wako!
Ukiua kwa upanga,utauwawa kwa upanga! fikra potofu kama za pinda ni muhimu kwa sasa ktk nchi kwa kuwa zinaharakisha mabadiliko! mwalimu,pole sana!lakin muda umewadia mungu anawatumia viongozi dhidi yao! Nchi yangu kwanza!
Ni vema kujuta juu ya jambo lilofanywa kwa makosa kwa kutokuwa na uwezo juu ya jambo hilo kuliko kujuta juu ya makosa yalofanywa kwa kukosa uelewa juu ya jambo husika! Nchi yangu kwanza! kila la kher na Mungu akutangulie katka ujenz wa nchi yetu.
Nini kifanyike nchi inapokosa wa kuisemea?? Tumeambiwa nchi imesimama haiendelei tena hali vijana wake wapo bize na malumbano ya kidini na siasa! Ndg zangu,yapo mambo mengi yanazungumzwa sasa ktk mitandao mbalimbali lakini kwa bahati mbaya wazungumzaji wote wanatofautiana mawazo(hawana umoja)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.