Recent content by dr luv

  1. dr luv

    Love story

    Ilikuwa kama saa nne usiku ambapo Julius alipigiwa simu na dada mrembo amabye anampenda kwa moyo wake wote lakini kila akijaribu kumweleza hisia zake binti mrembo hamwelewi, alipopokea akasikia sauti taaam ikisema ombi lako nimekukubalia, naomba uje nyumbani kwani niko peke yangu nahisi ndo...
  2. dr luv

    Natafuta mwanamke

    Mimi ni kijana natafuta mwanamke kuanzia miaka 22-26 awe mpenzi wangu sichagui dini wala kabila awe maji ya kunde au mweupe kiasi uwe na elimu kuazia diploma na kuendele.....kwa alie tayar ani MP
  3. dr luv

    Kabila kikwazo

    Nipo na mahusiano na msichana mmoja ambay mama mchaga ila baba sio mchaga ila toka kuzaliwa hd nw amekulia uchagan ila tatizo familia yetu hata ndugu wengne wote awataki kuona mtoto yeyote anaoa mwanamke wa kichaga na tulipewa onyo toka zaman bt kumwacha huyu siwez katika wanawake wote nilowai...
  4. dr luv

    Natafuta simu ya kununua used

    0652033393 nicheki nina bb curve 4 os 7.1 na inatumia bando la kawaida bei 120,000 Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
  5. dr luv

    leo balaa

    Leo joto noma hadi ukitoa noti ya 1000 mfukon unamkuta nyierere kavua shati kabakiwa na VEST
  6. dr luv

    kuna wambeya ila huyu kazid!!!

    zote ni kile kile ata ingekuwa whatsapp+++++ ishu ipo pale pale
  7. dr luv

    Huyu twimwitaje?

    jamaa aliharibikiwa na gari kijijini akapewa hifadhi,baada ya kuoga na kula.MZEE:"sasa huyu mgeni alale wapi?" MKE: "saa hizi ni usiku akalale na bebi tu!"jamaa akakwepa usumbufu wa bebi kukojoa kitandani na kulialia usiku.JAMAA: "msipate tabu mi nitalala hapa kwenye kochi." asubuhi akaibuka...
  8. dr luv

    kuna wambeya ila huyu kazid!!!

    pole sana ila vumilia
  9. dr luv

    kuna wambeya ila huyu kazid!!!

    Sio kila anayeonekana Online kwenye Whatsap yuko interested kuchat..Hata kaa ni mpenzi wako...Yaani hamna kitu nalaani kwenye Whatsap kama hii kitu inaitwa 'Last Seen at' Imekaa kimbea kweli,sometimes mtu umeboreka,hauko kwenye mood ya mahaba,ila ukionekana uko online na hujamtumia SMS laaziz...
  10. dr luv

    Omo na Foma

    teh teh teh teh
  11. dr luv

    Omo na Foma

    kosa c la mwalimu kajibu bila kufikilia
  12. dr luv

    Omo na Foma

    Mwanafunzi alimuuliza mwl; Hivi ukichanganya Omo na Foma zitatoa povu? Mwl akajibu kwa hasira 'swali gani la kipuuzi hilo, zitatoa kwasababu zote ni sabuni. Mwanafunzi akasema: Wewe ndiyo una majibu ya kipuuzi. Zitatoje povu wakati hatujaweka maji?
  13. dr luv

    kikao cha dharura

    Habari Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki yangu,Napenda kukukaribisha kwenye kikao changu cha kwanza kitakachofanyika sigara club chang'ombe 28/11/2012,Nahitaji mchango wako wa hali na mali kuniwezesha kununua gari VITZ maana swala la usafiri hapa mjini limekua gumu.Kufika kwako ndio mafanikio yangu.
  14. dr luv

    mzee wa totoz

    Niambie Mzee wa Totoz, Mshauri wa warembo, Mwenye bahati na Walimbwende, Dizaina wa Bikini, Mtaalamu wa Vichuchu, Fundi wa Kuzama Chumvini, Jemedari wa Viuno, Muanzilishi wa Punyeto, Hodari wa tigo, Steringi wa Vitobo, a.k.a **** Young, kwa kupenda Misifa Wewe. Nitumie Jero nikumalizie...
  15. dr luv

    Nimelala fresh kabisa

    Teh teh kakesha macho kwi
Back
Top Bottom