Natafuta simu ya kununua used

Jubeck1

Member
Oct 10, 2012
29
45
natafuta simu angalau iwe na uwezo wa kusapoti watsup isiyozid elfu themanini plz nitafute kwa namba 0716316683 napatikana magomeni mapipa
 

dr luv

Member
Dec 19, 2011
23
0
0652033393 nicheki nina bb curve 4 os 7.1 na inatumia bando la kawaida bei 120,000

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 

Aleyn

JF-Expert Member
Nov 12, 2011
13,116
2,000
Nina Nokia Asha 311. 3G, 3.2 Megapixel, Full touch screen. 714 RAM with IGHz ya Processor.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom