Come on! Unataka KUBORESHA huku wewe Mwenyewe umeanza Kujitoa Kwa Mkopo? Kwa Taarifa yako Mkeo hatasubiri mpaka UMTOE kwa Mkopo, pindi atakapogundua kwamba Unatoka na Mkwe wa Rafiki yako basi yeye Mwenyewe atajipeleka kwa Mkopo tena inaweza isiwe kwa Rafiki yako Bali kwa Shamba Boy
Mkuu asante sana
Jamaa nimempa ushauri very rational ameshia kuniita Foolish. Jamaa hajui tu Kumpenda Mkewe. Ukimpenda Mkeo atarudisha Upendo na Huo ndio MVUTO wenyewe. Tupe Mkeo Tumpende Mkuu HUTAKI sasa unataka nini
Mkuu Mkeo hawezi kuwa na mvuto tena so long uko naye na inaonekana umekosa skills za Kurudisha Mvuto wake. Kwa Sababu unasema bado unampenda Mkeo ila unaona kama vile hana Mvuto Nakushauri Mtoe kwa MKOPO kwa Wanaume wengine baada ya Mwaka mmoja utaanza tena Kugundua thamani ya Mke wako. We...
Mkuu Nina Nia Njema Kabisa kwa sababu nimeelewa tatizo lako. Mkabidhi Mkeo kwa Rafiki yako then baada ya muda utatambua Thamani ya Mke wako pindi atakapoanza Kupendeza. Unaweza Kunikabidhi mimi Mkuu nakuhakikishia nitakurudishia Ukimhitaji tena
Nakushauri
1. Mbadilishane Mke na Rafiki yako. Mke wako Mpe Rafiki yako na wa Rafiki yako Mchukue wewe.
2. Baada ya Miaka Michache tena Utaanza Kutembea na Mke wa Rafiki yako ambaye sasa hivi ni Mkeo
3. Baadaye tena Mbadilishane na Rafiki yako
Kaunga Umeolewa? Kama umeolewa wewe unajichukuliaje? Unajiona kama Mke wa Mme wako au Wifi wa Mke wa Kaka yako? Unapojiweka katika hizo position Mbili Maisha au Matendo huwa yanabadilika au?
Kuna Hii Hali imezoeleka sana kwamba Chanzo kikubwa cha Matatizo katika ndoa Nyingi ni Mawifi, Mama Wakwe. Sijawahi kusikia Mashemeji wakilalamikiwa au Baba wakwe wakilalamikiwa.
Wanaolalamika wengi ni Wake ambao nao ni Mawifi ( kwa maana kaka zao nao wameoa).
Tatizo ni nini hasa ninti...
Infact sioni tatizo na inaetegemea mlikuwaje kabla ya Kuoana au wakati Mapenzi yenu yanaanza
Tatizo ni Pale Mnapokuwa kwenye mahusiano kwa Miaka mitano au Zaidi Mmoja wenu anaanza kuficha, kama mmeamua hivyo Tangu mko marafiki ni vizuri mkeaendelea hivyo kama kweli hamna mnaoficha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.