Recent content by Dr Louis

  1. Dr Louis

    Kuna milindimbo ya risasi nimeisikia Mbezi Beach

    Umeongea kitaalam sana mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  2. Dr Louis

    Tumwambie au Tumuache?

    Lakini hivi watu waozungumzia suala kuacha kubeti wanakuwa na akili gani jamani?hivi unawezaje kukaa huko na mawazo yako unakuja kumwambia mtu aache kazi yake kirahisi tuu alafu aende wapi kufanya nini wakati ajira hakuna na mkisema tujiari kwa namna wavyotaka huo mtaji tunautoa wapi? Hebu...
  3. Dr Louis

    Barua ya wazi kwa Mzee Bakhresa, Gharib wa GSM na Mo Dewji: Wakati mkiwekeza katika michezo, isaidieni jamii pia kwenye mambo mengine ya maana

    Nimejitahidi kusoma mara mbilimbili ila ninachokiona hapo hoja yako ni namba 2 hizo zingine ni wasindikizaji.
  4. Dr Louis

    Ushauri: Nataka kuanza kula nyama ya kenge

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  5. Dr Louis

    Ushauri: Nataka kuanza kula nyama ya kenge

    Nipee location nchi imekuwa ngumu sana hii mkuu
  6. Dr Louis

    Hivi ilikuaje hadi urafiki wa baba na jirani yake tolu kuvunjika?

    Yaani mpaka sasa ulikuwa hujausoma mchezo tuu?
  7. Dr Louis

    Hivi ilikuaje hadi urafiki wa baba na jirani yake tolu kuvunjika?

    Ila mkuu kweli wewe ni mchochezi kha!
  8. Dr Louis

    Tigo, kwa wizi huu nawashtaki mchana kweupe!

    Yaani kutumia huo mtandao ni kazi kubwa sana ya kuusumbua moyo yaani hakuna tofauti na kuishabikia arsenal.
  9. Dr Louis

    Mbunge analipwa mshahara wa 3.8M kwa mwezi, anapata posho 8M kila mwezi, jumla 11.8M. Akiwa kwenye kikao analipwa posho ya kikao 240K

    Hoja ina mashiko kabisa hii,wasiwasi wangu ni hivi viongozi wanapitaga huku kwa uaminifu kweli ili wayaone haya? Asante mkuu kwa kuturahisishia kufikiri.
  10. Dr Louis

    Nataka niache kuvuta bangi lakini nashindwa

    Hapo ndipo unapokwamia sasa
  11. Dr Louis

    Nikifika Dar nifikie wapi ambapo ndio center ya jiji?

    Kwanza nikukumbushe tuu mapema Masaki,Msasani,Kawe huko kote ni mkoani siyo Dar tena kwa mujibu wa mkulu.
  12. Dr Louis

    Simiyu: Akamatwa na Kobe zaidi ya 400 wakiwa kwenye mabegi 3

    Nakuona unavyoenda kusaidiana na wahujumu uchumi nyuma ya nondo kule,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Back
Top Bottom