Wewe jamaa una mambo kweliShabiki wa simba alibet mke
Take cover brother! Put your head down,lie down you will be safe! Lock your doors [emoji137][emoji253] AK-47 asault rifle is dynamic machine gun.cold, hot and wet season it fires efficiently,100m maximum impact on target [emoji137][emoji137]Wakuu.
Nasikia milio ya Risasi mitaa ya mbezi beach Rain bow kuna nini wakuu?
Nimeshtuka sana nilidhani ni Lugalo Barracks, kumbe huko Makonde, African huko. Huko acha zilindime zikiisha kwenye magazine milindimo nayo kwisha.Wakuu.
Nasikia milio ya Risasi mitaa ya mbezi beach Rain bow kuna nini wakuu?
JF namna hii itapoteza hadhi!Mimi ndio nimezipiga Mzee usiwe na wasiwasi tunashangilia ushindi wa Raja casablanca
JF namna hii itapoteza hadhi!
Si rahisi lkn ndio mwanzo kuwa JF inapoteza thinkers1Kwa sababu jamii inaweza control majibu kama haya?
Si rahisi lkn ndio mwanzo kuwa JF inapoteza thinkers1
You might be right, but uhuru should be used with akili! Unadhani lingelikuwa gazeti mhariri angelindika upuuzi ule kesho akapata soko?Kitu chochote cha public ndivyo kilivyo, na huo ndo uhuru wa maoni.
You might be right, but uhuru should be used with akili! Unadhani lingelikuwa gazeti mhariri angelindika upuuzi ule kesho akapata soko?
Huyo Jamaa anataka watu humu wafanane akili Kama marobot vile! Binaadamu kila Mtu na akili zake!!Kitu chochote cha public ndivyo kilivyo, na huo ndo uhuru wa maoni.
Itakuwa majambawazi yalikuwa kaziniWakuu.
Nasikia milio ya Risasi mitaa ya mbezi beach Rain bow kuna nini wakuu?
[emoji16][emoji3][emoji28] umughaka nke ubaye umurishia wane. Bajambasi bamara bantho Mbezi Beach? Gega umuhio mugoge jambasi imwe.
[emoji849][emoji849][emoji849] Eeh! Hivi huko Mbezi Beach uzunguni kabisa kuna mitaa inaitwa Makonde na Afrikana!!!!? Badala ya Tarimo-burg, Massawe-shire, Onyango-berg, Ruta-york, Otieno-ford, baghosha!?Nimeshtuka sana nilidhani ni Lugalo Barracks, kumbe huko Makonde, African huko. Huko acha zilindime zikiisha kwenye magazine milindimo nayo kwisha.
Ukienda Moshi ndo utacheka. Kuna sehemu unaitwa Shant Town utadhani wanaishi makabwela kumbe wanaishi matajiri asilimia kubwa[emoji849][emoji849][emoji849] Eeh! Hivi huko Mbezi Beach uzunguni kabisa kuna mitaa inaitwa Makonde na Afrikana!!!!? Badala ya Tarimo-burg, Massawe-shire, Onyango-berg, Ruta-york, Otieno-ford, baghosha!?
Ahaaa ahaaa we mtani wewe Eti Onyango-berg, Ruta- york[emoji849][emoji849][emoji849] Eeh! Hivi huko Mbezi Beach uzunguni kabisa kuna mitaa inaitwa Makonde na Afrikana!!!!? Badala ya Tarimo-burg, Massawe-shire, Onyango-berg, Ruta-york, Otieno-ford, baghosha!?
Umeongea kitaalam sana mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Take cover brother! Put your head down,lie down you will be safe! Lock your doors [emoji137][emoji253] AK-47 asault rifle is dynamic machine gun.cold, hot and wet season it fires efficiently,100m maximum impact on target [emoji137][emoji137]