Namkubali sana Mshikaji..Ni kweli kila mmoja na mtazamo wake..mwingine atasema hasafishiki..mwingine atahoji kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania ? Kimsingi hakuna aliyepangwa kuwa Rais,.Makamu wa Rais.,Waziri mkuu.,Waziri.,Mkuu wa mkoa,Mkuu wa wilaya.,Mbunge.,Diwani,Mwenyekiti wa...