Nakubaliana na Post:But kwa sababu kuu zifuatazo:-

JK na Lowassa kwa sasa hawaendi sawa.(Kuna namna fulani yakuoneshana ubabe,kutokana nafasi ya kila mmoja kwenye chama)

Sababu ya kutokwenda sawa! -JK alimsaliti Lowassa mara nyingi mno (fuatilia trend ya kutafuta uraisi wa JK toka mwanzo)

Lowassa kama binadamu hawezi akavumilia usaliti mkubwa wa kiasi hicho-Kibinadamu chukua mfano mdogo tu.,wa mme au mke kufumaniwa na mke au mme(Katika hili Lowasa kasalitiwa ambitions zake!)

Lowassa anachofanya anataka ku fullfil ambitions zake(Jambo ambalo si dhambi!..yeyote makini katika hii dunia ndicho siku zote anafanya).

Ukiwafuatilia baadhi ya wanaCCM(akiwemo JK) kwa nini wanataka Lowassa aachie ngazi za uongozi..wanakwambia ni kwa sababu ya picha mbaya ya UFISADI inayopoteza aiba nzuri ya chama kwa watanzania,na si kwa sababu Lowassa ni FISADI,refer tuhuma ya Richmond,ilimhusisha Lowassa moja kwa moja na UFISADI;Lowassa aliwajibika kwa kujiudhuru Uwaziri Mkuu...ni kiongozi gani mwingine aliweza kufanya hivyo kutokana na makosa au yake mwenyewe au aliyehusishwa nayo akiwemo Kikwete,Pinda,Ngereja,Chenge, ...msururu ni mkubwa sana?

Maoni:
Kila binadamu makini katika hii dunia ana struggle kila siku ku fulfill ambitions zake :-Yafuatayo ni baadhi ya mifano

Kuwa Mjasiliamali, Mwalimu,mkufunzi,Daktari,Nesi,askari,Rubani.....n.k

Mwimbaji,muubiri,mtangazaji,mwinjilisti,askofu.....n.k

Diwani,Mbunge,Mkuu wa Wilaya,Mkuu wa Mkoa,Naibu Waziri,Waziri,Waziri Mkuu,M/Rais,Rais.....n.k

Mtendaji wa kijiji/mtaa/Kata,Mkurugenzi,DAS,RAS,Naibu Katibu Mkuu,Katibu Mkuu......n.k

RPC,RCO,MKUU WA MAJESHI, JUDGE...n.k

Sasa basi.. kimtazamo hizo nafasi zote pamoja na nyinginezo huwa zinatafutwa,na nyingine kutokana na umuhimu wake zina vikwazo vingi ,hata hivyo hazituzuii sisi binadamu kuzipigania hasa ukiona unazimudu.. kwa manufaa yako mwenyewe,jamii,taifa na Dunia kwa ujumla.Pia hizi nafasi zinahitaji Rasilimali,hasa muda..kama hivyo ndio sahihi!Kuna sababu gani kwa ZITO KABWE,EDWARD LOWASSA na wengineo kuzipigania nafasi husika..WITO WANGU NI KWAMBA SIONI DHAMBI KWA YEYOTE ANAYEHITAJI NAFASI KWA MFANO YA URAIS KAMA ATAIMUDU KATIKA NCHI HII AKIWEMO ,LIPUMBA,CHEYO,LOWASSA,KABWE,DR.SLAA,DR.MIGIRO,MAKAMBA,MNYIKA...TINDU LISSU,SUGU...MSULULU NI MREFU SANA........
hitimisho:
Lowassa kaza buti,kama wengine nchini na kokote duniani ambavyo wamekuwa wakikaza buti.,ZUMA RAIS WA SASA WA AFRIKA KUSINI.,PAMOJA NA KASHFA YA UBAKAJI KABLA YA URAIS,STILL NDIYE ALIYECHAGULIWA KUWA RAIS WA NCHI ILE..I MEAN,WANANCHI WALIMPENDA NA NDIE RAIS WAO.KAZA BUTI LOWASSA!