Recent content by Dr Frizo

  1. D

    JamiiForums Tanzania Video: ITV News ya UK yapeleleza biashara ya NDOVU nchini, yawarekodi wauzaji bila ya wao kujua...

    Hii opareshen haiwaleng wahusika wakuu kabisa matokeo yake kuna usir mkubwa juu ya wafanyabiashara wakuu. Serikal inajua na inatambua ukweli woote. Sema wanachofanya ni funika kombe.......
  2. D

    JamiiForums Tanzania Habari katika picha: Nape Nnauye katika maandalizi ya sherehe za kuzaliwa CCM, Mbeya

    Huyu ndo chiz chiiiiiiiiiz kabisa. Hiv wewe akili yako iko sawaswa kweli? Kumbe kucheza draft ndo maendeleo? Ngoja nikachore langu na mm
  3. D

    JamiiForums Tanzania Uteuzi wa Juma Nkamia ni kuua uhuru wa vyombo vya habari - Meena

    Babaako
  4. D

    JamiiForums Tanzania Desemba 25: Je, ni siku aliyozaliwa Yesu au twaadhimisha tu kumbukumbu?

    Mungu akurehem. Maana una jina la kua hai lakin umekufa
  5. D

    JamiiForums Tanzania Tazama harusi ya kigogo wa CHADEMA, Henry Kilewo alivyofunga ndoa na Joyce Kiria

    Nawapongeza Henry na Joyce kwan mmlifanya yapasayo kufanywa. Ndoa ni yenu wala si ya watu kibaaao. Mwisho unaishia kukwepa madeni
  6. D

    JamiiForums Tanzania JK amuweka kitanzini Profesa Kapuya

    Zitakua ndoto
  7. D

    JamiiForums Tanzania Watoto watekwa, walawitiwa na kuteswa kinyama ndani ya handaki lilipo katika msitu wa Mabwepande

    Inauma sana tena sana. Mm nafikiri huu sio mda wa police kuanza kutafuta taarifa. Tuna jeshi akutosha tena ambalo mda mwing lipo idel sababu nchi haiko kwenye machafuko. Hako kamabwepande sidhan kama ni msitu wa kutisha kias kwamba wanashindwa kuuvamia nakuwakamata hao wauwaji wakubwa wenye roho...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Nitaendelea kuongoza CHADEMA wanachama wakiamua - Mbowe

    Kuna swal dogo sana la kujiuliza anaye mchagua mwenyekit ni nani? Kama ni wananchama kinachowaumiza watu vichwa ni nn? Kama bado cdm inamhitaji mbowe watamchagua la atakaa pemben. Uchaguz wa cdm ni 2014 leo mbowe kang'ang'ania madaraka yep? Then hakuna kitu kinanikera kama kuskia chama kina...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Nawapongeza CHADEMA kwa kuchukua maamuzi magumu ya kujikata mguu!

    Haka ka mwampamba kanashangaza sana. Mpaka mtimliwe ndo mnaanza kutaja magumu ya ndoa. Nyie kaen pemben hamtufai wazandiki wakubwa. Tunaona na sii kuskia tu. Nyie pandikiz wa ccm hatuwahitaji
  10. D

    JamiiForums Tanzania Mbowe - Tangaza viongozi wengine wanaotaka kujitoa wajitoe sasa hivi. Tumechoka na mamluki.

    Huo utakua mpango mzur sana
  11. D

    JamiiForums Tanzania Kujeruhiwa Dr Mvungi: Jaji Warioba ueleze umma nini kimetokea!

    Asante kwa hoja yenye mashiko. Ilakwa wenye upeo mdogo kufikiri itawasumbua akili.
  12. D

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuwashtukia viongozi wa CHADEMA, NCCR MAGEUZI ndio chaguo bora baada ya CCM!

    Huyu kwel chiz. Barabara hata inyooke vp lazma kuwe na kona. So cdm sio Malaika useme hawatagombana. Uwe na akil kichwan mwako mjomba. Ktk isue yeyote lazima tofaut ziwepo ili kufikia malengo
  13. D

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Naibu Meya CHADEMA Moshi Mjini afriki dunia

    Hiyo ni kazi ya Mungu
  14. D

    JamiiForums Tanzania Mulugo: Division Five haipo na sifuri ipo palepale

    Hiv hii wizara vp. Kila anaejiskia anaongea apendavyo? Wizara nnyet kama hii unaweka mambulula? Jaman tz yangu hii
Back
Top Bottom