Recent content by Dr Chew Ing Gum

  1. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Anahatarisha uhai wa ndoa yangu

    Ni vizuri pia kupima ukimwi na STIs nyingine, kwani hiyo michepuke pengine nayo inachepuka, pili hujui kama wife naye anachepuka.
  2. D

    JamiiForums Tanzania Sababu za watu kufa ghafla angali wanafanya mazoezi

    Sexercise also counts!
  3. D

    JamiiForums Tanzania Gym yenye bei affordable

    Kwanini Gym, wakati unaweza kujifua mwenyewe, Ukiamka pasha misuli moto- push ups 50-100, sit-ups 50, ruka kamba, kichura, nk nk. Kama mtu ulipitia jeshini, basi Gym watakusikia tu.
  4. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri unahitajika: Which country should he visit?

    Mwambie aanze na utalii wa ndani kwanza. Kwa budget aliyonayo ataenda na familia yake Ngorongoro, Serengeti , Mikumi NK, na ataenjoy sana. Asisahau kwenda Zanzibar kuogela na dolphins.
  5. D

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda: IST ni gari wanayohongwa wanawake mitaani, siwezi kuitumia na siwezi kumpa askari wangu

    Ndio maana, nanihii alikuita zero brain. Bure kabisa.
  6. D

    JamiiForums Tanzania Lazaro Nyalandu akamatwa na kushikiliwa na TAKUKURU mkoani Singida

    WTF? Seriously my nigger?
  7. D

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Diwani Athumani si tu ni Polisi bali ni Afisa wa Usalama wa Taifa

    Jamaa mzee wa kuropoka ropoka wakati mwingine. Yaani kama hana "kaba ya koo" vile.
  8. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimemnunulia Smart Phone ya laki Nne, cha kushangaza kila nikimpigia usiku yupo busy sana..

    Natumaini wazazi pia huwa unawakumbuka, hata kama wanajiweza hufarijika na ku appreciate zawadi. Huyu binti anamwingine ampendaye zaidi.Take your phone, give it to your mum or dad and move on.
  9. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi aliye "busy" siku zote

    aggyjay , hamjawahi kutana, sasa alikutongozea wapi? Mitandaoni?
  10. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi aliye "busy" siku zote

    Pengine mna shea hapo, ubize gani huo wa 24/24.7/7. Na wewe tafuta atakayekuliwaza kila siku, hapo itakuwa ngoma droo.
  11. D

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Segerea, Bonnah Kaluwa apigwa marufuku kutumia jina la mume wake

    To be honest , this is none of my business.
  12. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania If you cheated, should you tell? Je, ukim-cheat utamwambia?

    Umwambie partner wako kuwa uli mcheat ili iweje? Itakusaidia nini wewe? na itamsaidia nini partner wako? Akishajua uli cheat mahusiano yenu yatapata faida gani? Tubu kwa muumba na kamwe usirudie tena, halafu songa mbele. Shaggy aliimba vizuri sana " It wasnt` me".
  13. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wa mpangaji mwenzangu

    Peeping Tom!
  14. D

    JamiiForums Tanzania Ujerumani: Tundu Lissu afanya mahojiano na kituo cha utangazaji Deutsche Welle(DW)

    Duh huyu jamaa atakuwa shujaa sana kama ataamua kurudi TZ, kwani waliotaka kummaliza bado wapo huru na sidhani kama wanaona raha anawavyowavua taulo uani, wakati kuna kadamnasi kubwa sana hapo uani.
  15. D

    JamiiForums Tanzania Geita: Mtemi azikwa na watu hai wawili

    Usikute ni trela tu ya bongo muvi. Kama ni kweli basi bado tupo nyuma sana. Hapa kuna mtu/watu wana kesi ya kujibu. La hasha! Sio wale wanaosota Segerea.
Back
Top Bottom