Recent content by dr.bleeder

  1. D

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya Rufiji ampiga kibao Mwenyekiti wa kijiji mbele ya wananchi

    Jinsi mfalme alivyo ndivyo watu wake walivyo
  2. D

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni huu, kwa mbinu hizi upinzani unaenda kuimarika mara dufu

    Fedha za maendeleo zinatumika kununua wapinzani, shame on U CCM
  3. D

    JamiiForums Tanzania ‪Rais Magufuli: Wakuu wa Mikoa wengine jifunzeni kwa Makonda. Tanzanite imeongezeka mara 30... Sijaja kuuza sura!‬

    Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu kufanya kinga yake na huku moyoni amemwacha Mungu. IPO SIKU ATAJUTIA
  4. D

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Inasemekana Nape Nnauye kavuliwa Uanachama wa Chama cha Mapinduzi..

    Waache wafu wawazike wafu wao
  5. D

    JamiiForums Tanzania Makao Makuu CHADEMA: Polisi wavamia na kukamata Wanachama waliovalia T-shirt za "Pray for Lissu"

    Hawana akili, maombi ni swala la kiroho, hata ukiwakamata huwezi kuzuia maombi maana wataendelea kuombea huko huko selo
  6. D

    JamiiForums Tanzania Inawezekanaje kutumia milioni kumi kwa siku moja kwa matibabu ya Lisu?

    Mnafiki mkubwa wewe! ! Mambo ya Lissu yanayohusu nini wewe, kama huwezi kuchangia kaa kimya
  7. D

    JamiiForums Tanzania Hospitali ya KCMC yakumbwa na tuhuma nzito za ufisadi wa mabilioni ya fedha

    Hiyo Hospitali ni balaa kwa Ufisadi. Sijapata kaona. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. D

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yasema haina imani na Polisi na Serikali sakata la Lissu, yataka wapelelezi huru kutoka nje

    Heri kufa ukitetea haki kuliko kubariki ushetani Sent using Jamii Forums mobile app
  9. D

    JamiiForums Tanzania Jinsi Vimbunga/Dhoruba (Hurricanes/Storm) vinavyopewa Majina

    Nashukuru mkuu, hili ndio lilikua swali langu kwa muda mrefu. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini CHADEMA inachangisha hela ya matibabu ya Lissu?

    Stupid Sent using Jamii Forums mobile app
  11. D

    JamiiForums Tanzania Msaada wa pikipiki nzuri

    Zote zinafaa tu. Lakini TVS inapaa zaidi kwa matumizi binafsi. Kwa kuwa bodaboda wengi bado hawajazivamia sana Sent using Jamii Forums mobile app
  12. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tafsiri Ya Mahakama Kuu Kenya Kutangaza Uchaguzi Mkuu Kenya Ni Batili..

    Chezea The Hague wewe,Uhuru hawezi kuleta ngebe tena maana nakumbuka yaliyotaka kumpata. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. D

    JamiiForums Tanzania Msaada wa pikipiki nzuri

    Inategemea na bajeti yako, unashilingi ngapi? Lakini nijuavyo kwa barabara ambayo siyo rafiki na ya vumbi, pikipiki nzuri inatakiwa iwe sport motorcycle . na siyo boxer au TVS. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. D

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu: Lissu aongezewe ulinzi mkali, ni hazina kwa taifa

    ZAB 127: 1-2 Bwana asipoulinda mji wakeshao wafanya kazi bure. ........ Sent using Jamii Forums mobile app
  15. D

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Bila ma-DC na ma-OCD, CCM ni kama maji ya kunawa

    Bakiza akili za kwenda msalani tuu basi Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom