Recent content by Dr Alfonsi

  1. D

    JamiiForums Tanzania UDSM mwaka huu kuna nini?

    Angejaribu kuomba Mechanical Engineering uliyosoma wewe huenda angepata.
  2. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kigoma - Mchumba (mke tarajali)

    Habari zenu ndugu. Tafadhali husikeni na mada tajwa hapo juu. Natafuta mwanamke wa kufanya nae maisha. Awe mwenye hofu ya Mungu, anayejielewa na kuwa na focus ya maisha. Awe anapatikana kigoma mjini au wiilaya yeyote ya mkoa wa Kigoma, au hata awe wa nchi jirani (Burundi au Rwanda) ni sawa tu...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Msaada: Said Jamal Athumani anatafutwa

    Asante sana kwa kunitia moyo mkuu.
  4. D

    JamiiForums Tanzania Msaada: Said Jamal Athumani anatafutwa

    Ndugu zangu: Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu. Huyu ndugu anayetafutwa asili yake ni Zanzibar, Baba yake mzazi alishafariki. Lakini amekulia Dar es salaam. Ana mjomba wake maeneo ya Kinondoni. Mjomba wake by 2020 alikuwa ni Dr. Hapo maeneo ya Kinondoni. Said Jamal ATHUMANI katika maisha...
  5. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi wanawake wa dizaini hii kumbe wapo?

    Wewe ndio mpumbavu nambari moja kwa sababu ni mwanamke uliyekubali kuolewa pasipokujua nini maana ya ndoa. It is very clear from the bible kuwa anayeolewa ni mwanamke na sio mwanaume -hakuna kitu kinaitwa kuoana - bali mwanamke ndiye anayeolewa . Kwa tafsiri nyingine ni kuwa MWANAMKE akikubali...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Niliachana na ajira nikaingia kwenye kilimo, na kweli mambo yamejipa

    Usiwadanganye watu waache ajira eti waende wakajiajiri kwenye kilimo Mkuu. Kilimo kina stress hatarii. Lakini pia ajira inategemeana una ajira gani? Mfano mtu unafanya kazi na basic yako ni 4m plus, na huna stress za kusumbuana na vibarua Wala wadudu huko maporini Kuna haja Gani ya kuacha ajira...
  7. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi wanawake wa dizaini hii kumbe wapo?

    Njoo sebuleni tutaongea vizuri sana na kuyajenga pamoja 😘
  8. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi wanawake wa dizaini hii kumbe wapo?

    Umenena vyema kabisa my sweetheart 😘
  9. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi wanawake wa dizaini hii kumbe wapo?

    Na wewe umekwishapatikana ? Karibu nikupe somo ambalo litakusaidia kuimarisha ndoa yako
  10. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi wanawake wa dizaini hii kumbe wapo?

    Kwa hiyo Jimbo lipo wazi ??
  11. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi wanawake wa dizaini hii kumbe wapo?

    Yes, when someone read your comments and the thread between the lines, no doubt, the said woman is YOU
  12. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi wanawake wa dizaini hii kumbe wapo?

    Pole kwa yaliyokukuta lakini nakushauri ukitaka ndoa yako idumu na kama kweli unampenda mwenzio usiangalie madhaifu yake wewe timiza wajibu wako kama mke halafu endelea kumuomba Mungu ili aweze kumbadilisha mke wako kwa kumpa uelewa na kuwa na moyo wa kukusaidia mke wake. Uwe unamuomba Mungu kwa...
  13. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi wanawake wa dizaini hii kumbe wapo?

    Hatuwezi kujaribu kufanya hivyo kwasababu ndio maana Kuna mgawanyiko kati ya mwanamke na mwanaume ..... Na ndio maana mwanamke anakojoa huku amechuchumaaa, ili hali mwanaume anakojoa huku akiwa amesimama Hiyo ndio inaleta utofauti. Zaidi ya hapo inakuwa ni kiburi tu Cha mwanamke kutaka...
  14. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi wanawake wa dizaini hii kumbe wapo?

    Mwanamke kabla ya kukubali kuolewa yampasa kwanza afahamu mashariti ya ndoa, ambayo kubwa la kwanza na muhimu kuliko yote ni kukubali kulala bila kuvaa PICHU na hayo mengine ya usafi , kupika , kufua n.k ni viambata vyake tu ambayo nayo ni muhimu ayajue kuyatekeleza yote
  15. D

    JamiiForums Tanzania Bei ya chai kwenye mighahawa imepanda maradufu

    Sukari Bei juu
Back
Top Bottom