Recent content by Dr Adinan

  1. Dr Adinan

    Nashindwa kudhibiti kisukari licha ya kutumia dawa na kufuata masharti

    Siku moja tukiwa tunaongea na wagonjwa katika mijadala ya kawaida kuhusu kudhibiti kisukari na presha, mgonjwa mmoja aliuliza swali la muhimu sana. Dr. Mimi nashangaa, ninamuiga mume wangu aina ya vyakula na kiwango lakini yeye ameweza kudhibiti ila mimi siijaweza. Tatizo nini? Wagonjwa...
  2. Dr Adinan

    Ni Vipi Vifaa Vya Mafunzo Kwa Kozi Za Afya? Dkt. Adinan anashauri uwe na vifaa hivi

    Hongera siwezi kuiacha. Umeefanya kazi kubwa mpaka kuchaguliwa kusomea kozi za afya. Kozi ya afya yeyote ni nzuri na itakuwezesha kufanya vitu vingi hapa maishani ukiacha ukweli kwamba fani za afya bado zina HESHIMA kubwa mbele ya jamii na kuhitajika. Baada ya hongera, nina habari nzuri kwako...
  3. Dr Adinan

    Jinsi ya Kuwasiliana na Daktari Wako Bila Hofu: Mbinu za Ushauri kwa Wagonjwa

    Kuwasiliana na daktari wako kwa ufanisi ni muhimu sana kwa afya yako. Hata hivyo, inaweza kuwa na changamoto kwa baadhi ya watu kuhisi hofu au kukosa uhakika jinsi ya kuzungumza na daktari wao. Kama wewe pia huwa unahisi uzito kuwasiliana na daktari wako kwa uwazi bila hofu, makala haya ni...
  4. Dr Adinan

    𝐊𝐮𝐝𝐡𝐢𝐛𝐢𝐭𝐢 𝐩𝐫𝐞𝐬𝐡𝐚: 𝐉𝐞, 𝐧𝐢 𝐥𝐚𝐳𝐢𝐦𝐚 𝐧𝐢𝐰𝐞 𝐧𝐚 𝐤𝐢𝐩𝐢𝐦𝐨 𝐜𝐡𝐚 𝐩𝐫𝐞𝐬𝐡𝐚 𝐧𝐲𝐮𝐦𝐛𝐚𝐧𝐢?

    Presha ni ugonjwa unaosababisha vifo na ulemavu wa kudumu. Unaweza kudhibiti presha na kuepuka madhara yake kama utachukua hatua stahiki mapema. Ila.... Ubaya wa ugonjwa huu ni kwamba presha inaweza kuwa juu kiwango cha kupasua mishipa ya damu kwenye ubongo na kusababisha kiharusi au magonjwa...
  5. Dr Adinan

    Je, Kisukari kina tiba? Fahamu tafiti zilipofikia mpaka sasa

    Karibu sana. Wasambazie na wengine ujumbe
  6. Dr Adinan

    Je, Kisukari kina tiba? Fahamu tafiti zilipofikia mpaka sasa

    Nashukuru mkuu. Hapo utakuwa umekalia utajiri Dr. Mzizi Mkavu. Leta hiyo dawa tusaidie watu huku nasi tukineemeka.
  7. Dr Adinan

    Je, Kisukari kina tiba? Fahamu tafiti zilipofikia mpaka sasa

    Kama una miaka 30+ uko katika hatari ya kupata kisukari. 𝗝𝗲, 𝗸𝗶𝘀𝘂𝗸𝗮𝗿𝗶 𝗸𝗶𝗻𝗮𝘁𝗶𝗯𝗶𝗸𝗮? 𝗠𝗽𝗮𝗸𝗮 𝘀𝗮𝘀𝗮 𝗵𝗮𝗶𝗷𝗮𝗳𝗮𝗵𝗮𝗺𝗶𝗸𝗮 𝗱𝗮𝘄𝗮 𝗶𝗻𝗮𝘆𝗼 𝘁𝗶𝗯𝘂 𝗸𝗶𝘀𝘂𝗸𝗮𝗿𝗶 Wengine wakiwa na imani kwamba kila ugonjwa una tiba yake, kwasasa dunia bado haijapata dawa ya kutibu ugonjwa huu mbaya na hatari. Kisukari inaongoza kwa...
  8. Dr Adinan

    Madhara ya Kisukari na Namna ya kuyaepuka: Ugonjwa wa Figo

    Habari yako ndugu. Karibu tena, tunaendelea na makala zetu kuhusu madhara ya kisukari. Kisukari huharibu figo kwa namna mbili: namna ya kwanza ni madhara ya moja kwa moja yatokanayo na uwepo wa kiwango kikubwa cha sukari kwenye damu. Tulijifunza kwamba kisukari husababisha shinikizo la damu...
  9. Dr Adinan

    Vidonda Vya Kisukari: Fahamu Chanzo, Athari, Tiba na Kinga

    Madhara Ya Ugonjwa wa Kisukari na Namna Ya Kuepuka Vidonda kwa wagonjwa wa kisukari ni changamoto kubwa sana inayosababisha ulemavu unaotokana eidha kuwa kukatwa miguu au mikono. Haya yote yanaweza kudhibitika kama tahadhari itachukuliwa katika muda muafaka. Kabla ya kufahamu ufanye nini na...
  10. Dr Adinan

    Unajiunga na chuo cha afya? Fahamu mambo 5 ya kuzingatia wakati unanunua vifaa-tiba kwa ajili ya mafunzo yako!

    Mimi ni Dr. Adinan Juma, daktari na mkufunzi wa vyuo vya Afya mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka 10. Nimekuwa akifundisha wanafunzi wa level za Diploma mpaka PhD. Leo nataka nikupe dondoo 5 muhimu zitakazo kuwezesha kununua vifaatiba bora kwa mafunzo yako. Ushuarui huu ni kutokana na uzoefu...
  11. Dr Adinan

    Kuingia kwenye wimbi la tatu ni Uamuzi Kama Ilivyo Kutokuingia

    Utakumbuka wakati ule ametangazwa mgonjwa wa kwanza wa COVID-19 Tanzania, watu wengi walianza kuchukua tahadhari. Lakini kirusi alishaingia Tanzania. Watu baadhi wakaumwa. Kwakuwa tahadhari ilikuwa juu, idadi ya waliokuwa wanaumwa ikaanza kupungua. Virusi hawakuwa wameisha! Walikuwa wachache. Na...
Back
Top Bottom