Recent content by Dr.adams faida

  1. Dr.adams faida

    JamiiForums Tanzania Motorola imerudi kwa nguvu Samsung ajipange Aisee!

    Bwana ee Ile vita ilikuwa haishikiki
  2. Dr.adams faida

    JamiiForums Tanzania FT: Gaborone United 1-1 Young Africans SC | CAFCL-1st Leg | Botswana National Stadium | 05-09-2026

    Kwenye link inayoonyesha game tafadhari wakuu mnisaidie nami nicheki
  3. Dr.adams faida

    JamiiForums Tanzania Sijui niliyoyasoma Kwenye Laptop waliyomnyang’anya Lopelope niyeweke wazi au nijiridhishe kwanza?

    you cannot treat diarrhea by switching the anus,mpaka kufika 2030 nchi itakuwa imetoboka vibaya mno
  4. Dr.adams faida

    JamiiForums Tanzania Tangazo la kazi: Pharmacist / Pharmaceutical dispenser

    Wakuu nashukuru sana nilimpata vijana wanne hivyo wawili wapo dar wawili wapo mwanza na wameanza kazi tayari 🤝🤝
  5. Dr.adams faida

    JamiiForums Tanzania Tangazo la kazi: Pharmacist / Pharmaceutical dispenser

    TANGAZO LA KAZI: PHARMACIST / PHARMACEUTICAL DISPENSER Tunatafuta mtu mwenye ujuzi, uadilifu, na uzoefu katika fani ya pharmacy ili kusimamia na kuendesha pharmacy yetu kwa weledi wa hali ya juu. Sifa zinazohitajika: Awe amesoma Pharmacy au Pharmaceutical Dispensing kutoka chuo kinachotambulika...
  6. Dr.adams faida

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Pesa haishindwi kitu chief
  7. Dr.adams faida

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 George: Nilipigwa risasi Oktoba 29, 2025 nikapoteza mguu

    Huwezi kupinga namna hii...........
  8. Dr.adams faida

    JamiiForums Tanzania Watanzania sasa huku tulikofika ni pabaya...

    Watoe namba mkuu tuanze donation
  9. Dr.adams faida

    JamiiForums Tanzania Hii Ndiyo Ilikuwa Msaada na VPN Haikuwa Msaada?

    Tumia ROAMLESS APP boss hata kama simu haina lain kikubwa simu yako iwe inasupport eSIM unapata network bila tatzo
  10. Dr.adams faida

    JamiiForums Tanzania Hii Ndiyo Ilikuwa Msaada na VPN Haikuwa Msaada?

    ROAMLESS APP hii unatumia internet hata kama huna sim card
  11. Dr.adams faida

    JamiiForums Tanzania GE2025 ICC toeni arrest warrant ya huyu mtu

    Mkuu nascan vipi nikajionee
  12. Dr.adams faida

    JamiiForums Tanzania Joyce Banda!

    Dah 😂
  13. Dr.adams faida

    JamiiForums Tanzania Sina shaka na uzalendo wa CDF General Jacob Mkunda na JWTZ yake

    Speech zote za Jana ni MTEGO mkali kwa mtawala wanataka wajue baada ya hizi speech mbili atabaki upande gani either upande wa wahuni or upande wetu wananchi...(Tunataka mabadiliko/maridhiano/Uchaguzi wa haki/ katiba mpya/Demokrasia ya kweli siyo uhuni wanaofanyiwa chadema kila uchwao na serikali...
  14. Dr.adams faida

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM wanatangaza majina ya wagombea ubunge, maamuzi ya kamati kuu muda huu

    Oyaa bado makala kaukimbia ulingo
Back
Top Bottom