Recent content by Dr Adam Francis

  1. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania Mkakati wa Makamu wa Rais Deo dhidi ya Vijana naufanqnisha na mbwembwe za Makonda wakati yupo Arusha- hakunaga tija

    Tusibeze mawazo ya Mh. Makamu wa Raisi. Mawazo yake ni mazuri kwani hata hao vijana tunaotaka wakajiari wanahitaji mitaji. Kuanzisha 1year paid internships inaweza kusaidia kuwapa vijana mitaji lakini pia uzoefu wa kazi. Ni ukweli kuwa duniani kote suluhu ya tatizo la ajira ni kukua na...
  2. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania Serikali ya majimbo italeta ukabila, Tunachohitaji ni Katiba ya Warioba. Ghana, Malawi, Zambia na Botswana zina mfumo kama wetu ndio maana zimetulia

    Swala la katiba mpya ni muhimu sana. Lakini kuna wakati ukipitia maoni ya watu, utagundua elimu ya katiba, mathalani hii tuliyonayo tu, ni muhimu zaidi. Zipo hoja ambazo angalau zina muafaka wa kitaifa, kwa mfano uhuru wa mahakama, Tume huru ya uchaguzi, miiko na maadili ya viongozi, ukubwa wa...
  3. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi: Kuhusu Bank Statements za Heche, mnatingisha meza yenye vinywaji vya gharama

    Makamu Mwenyekiti wa "Chama kikuu cha siasa nchini" anawekewa hela zisizo na maelezo yanayoeleweka unakuja kutuambia ni mambo binafsi? Halafu mnajitutumua kujidai ni waadilifu? Nyinyi ndio ambao Mh. Makonda alisema mnapinga rushwa kwasababu hampo jikoni, siku mkiingia tutakuta mmjaa mafuta...
  4. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi: Kuhusu Bank Statements za Heche, mnatingisha meza yenye vinywaji vya gharama

    Ufisadi ni ufisadi tu, Wizi ni wizi tu na Rushwa ni rushwa tu. Hakuna fisadi mkubwa wala mdogo, Hakuna mwizi mkubwa wala mdogo, vile vile hakuna mla rushwa mkubwa wala mdogo. Kama ni ufisadi wote waitwe mafisadi, kama ni wezi wote waitwe wezi na kama ni wala rushwa wote waitwe wala rushwa...
  5. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania KERO Bima ya Afya ya Jeshi(JWTZ) haitusaidii Wanajeshi na Familia zetu

    Unakiapo chochote cha utii na uaminifu kwa JMT? Isije kuwa ww mwenyewe haupo kwenye chombo, ila unataka wenzako waje kichwakichwa wachangie kwenye haya mawazo yako halafu wapigwe shoti?
  6. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania KERO Bima ya Afya ya Jeshi(JWTZ) haitusaidii Wanajeshi na Familia zetu

    Ni vzr kukumbushana kuwa JWTZ ndio moyo wa nchi. Hakuna sovereignty bila jeshi. Kwa vyovyote vile, taarifa za Jeshi ndizo number one top secret za nchi. Hii ndio sababu ya askari kutokutumia bima za kiraia. Hoja kubwa ilikuwa ni shirika litakalopewa kazi ya kutoa huduma za bima kwa askari...
  7. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania Kufanya harusi na mwanamke aliyemeza mikia mingi ni kujichoresha na kujizima data

    Haikuwa mpango wa Mungu, watu kuingia kwenye ndoa na mileage zimesoma, tazama; "Mambo ya Walawi 21:13-14 Naye atamwoa mwanamke katika ubikira wake. Asitwae mjane, wala mwanamke aliyeachwa na mumewe, wala mwanamke mwenye unajisi, wala kahaba; lakini atamwoa mwanamwali katika watu wake mwenyewe"...
  8. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania Je, kutatokea nini Lissu akihukumiwa kunyongwa hadi kufa?

    Mwenyezi Mungu atuepushe, hilo lisitokee!
  9. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania Kilicho mpata Heche kimethibitisha mahakama siyo mama yako!

    Maana ya Heche kudanganya kuhusu mali, ni kuwa yeye Heche ni muongo na ushahidi wake hauwezi kuaminika kwakuwa anasema uongo hata akiwa chini ya kiapo. Hili ndilo lilikuwa dhumuni la Katuga kumuuliza hayo maswali.
  10. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania Kilicho mpata Heche kimethibitisha mahakama siyo mama yako!

    Utafute huo udaktari uwe nao kwanza ndio uwabeze wenye nao. Sio ww mwenyewe pangu pakavu halafu unabeza taaluma za watu.
  11. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania Kilicho mpata Heche kimethibitisha mahakama siyo mama yako!

    Mchango wangu ni kuleta nyuzi kama hizi ambazo zinakugusa mpaka wewe kuchangia maoni yako
  12. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania Ndugu yangu, mtoto wa mama mkubwa alichizi kisa mapenzi

    Usimcheke, muombee! Sio watu wote wanaoyachukulia mapenzi kiwepesi, wengine kwao ni until death do them apart. Watu kama hao wakisalitiwa kwao huwa ni jambo kubwa
  13. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania Kilicho mpata Heche kimethibitisha mahakama siyo mama yako!

    Unadhani wao ni wajinga mpaka wakubali kwenda kukalia kiti moto.
  14. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania Kilicho mpata Heche kimethibitisha mahakama siyo mama yako!

    Hakuna tafsiri yangu hapo, hayo ni maneno ya makamu mwenyekiti wako alipokuwa akijibu maswali ya Katuga kwenye cross examination.
Back
Top Bottom