Napenda kuchangia kama ifuatavyo.
Kwanza inabidi tujue Mungu ni Roho hivyo roho haina umbo linaloweza kuonekana kwa Binadamu zaidi sana Mungu hua anajifunua kwa umbo ambalo anaona ataweza kuonekana kwa macho ya binadamu
Jinsi Mungu alivyo jifunua kwa wanadamu haya ni baadhi ya matukio kwenye...
Waislam wame ng'ang'ania eti wayahudi hawautambui ukristo nikwel hawautambui Ila hiyo haiondoi ukweli kua Mungu ameagiza tuubariki uzao wa ibrahimu na pia atakae Ulaani atalaaniwa ndio maana tunasimama na Israel
Sent from my SM-M135FU using JamiiForums mobile app
Naona ni kawaida tu kwa mwanaume rijali kuwana mtoto Kama huyo pia jichukulie wew unge pata nafasi kama aliokua nayo ruge umashuhuri na fedha pia ...halafu totoz zikawa zina jileta ungeziacha kwel[emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.