Recent content by Dozza

  1. D

    JamiiForums Tanzania Ni kwa namna gani CHADEMA itakuwa moja tena bila pesa za ruzuku?

    Dah! Siasa siyo uadui ndugu, halafu amini nakwambia mahali popote penye monopoly huwa hakuna maendeleo. Hizo Bomberdier sijui flyover umpata kwa sababu ya upinzani. Ngoja uone sasa radha ya bunge la chama kimoja.
  2. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mlitakaje? Yani mnataka Magufuli awapigie debe wagombea wa upinzani?

    Habagui, anatoa rushwa.
  3. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tuliwaonya CHADEMA mkimsimamisha Lissu ndio mtafutika rasmi Tanzania

    Vipi M baba? bado unakiamaini ulichokiandika hapa?
  4. D

    JamiiForums Tanzania Nilichokisikia kwenye Press ya leo pale Ufipa nimekata tamaa sana

    Ndo lile kundi pendwa la ccm, kujibishana na wewe ni kupoteza muda kama Robert tu huwezi kuiandika
  5. D

    JamiiForums Tanzania Upendo ndiyo huu, Rais Magufuli na Lowassa

    Na matusi yote yale waliyomtukana kule Geita eti kajinye....aa!
  6. D

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Temeke, Abdallah Mtolea ataka CHADEMA ifutiwe usajili

    Pumbavu mwenyewe
  7. D

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Temeke, Abdallah Mtolea ataka CHADEMA ifutiwe usajili

    halafu maisha yako yatabadilika, utakuwa bonge la millioenea au siyo.
  8. D

    JamiiForums Tanzania Siri ya Chuki ya Mwigamba dhidi ya Zitto Kabwe

    Kwa msaada wa CCM, Zitto and Co. waliipora ACT Tanzania toka kwa akina Kidawi na kuibadili jina kuwa ACT wazalendo. hawakuianzisha. ACT Wazalendo ni mtoto wa kuzaa wa CCM.
  9. D

    JamiiForums Tanzania Chadema itashinda Urais 2020 hata bila TUME HURU

    Sema haitotangazwa kuwa imeshinda.
  10. D

    JamiiForums Tanzania Chadema itashinda Urais 2020 hata bila TUME HURU

    Wanaweza. Magufuli ana damu mikononi Lissu hana.
  11. D

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif: CCM haijawahi kuacha hujuma, nasi hatujawahi kushindwa uchaguzi

    Msongo hawezi pata na uchaguzi atashinda ila tume itawapa mbogamboga kama ilivyozooleka, kubwa atalotusaida Maalim ni kutoonyesha unafiki, fitna, wizi na kuyafichua mauchafu yote ya CCM.
  12. D

    JamiiForums Tanzania Siku, dakika za mwisho kabla ya Ben Saanane kutoweka

    Kwani Lisu nae hajulikani alipo?
  13. D

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa kuhusu FAHAMI DOVUTWA

    Jamaa anachukuaga fomu za urais halafu baadae anajitoa kugombea halafu anawaelekeza wanachama wake wampigie kura mgombea wa CCM, bangi zina madhara mbalimbali.
Back
Top Bottom