Naomba kufahamishwa kuhusu FAHAMI DOVUTWA

BSL

Member
Dec 15, 2018
86
98
Wadau wa siasa ,ningepeda kujua, kuna mwenyekiti wa chama anaitwa ,FAHAMI DOVUTWA, anapenda sana kuvaa kofia nyekundu ,je ni sare ya uniform za chama chake au ni mmoja wa makomando waliofeli kwenye uwanja wa mafunzo?? Hivyo huvaa ili kujipongeza kwa hatua aliyofikia
 
Bila picha, itakuwa uzushi tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anaitwa Fahmi Dovutwa

Huyo apo!
Bila picha, itakuwa uzushi tu

Sent using Jamii Forums mobile app
DSC_7715.jpeg
 
Ni staili tu kama akina Malema wa EFF na Red berets zao...
Wadau wa siasa ,ningepeda kujua, kuna mwenyekiti wa chama anaitwa ,FAHAMI DOVUTWA, anapenda sana kuvaa kofia nyekundu ,je ni sare ya uniform za chama chake au ni mmoja wa makomando waliofeli kwenye uwanja wa mafunzo?? Hivyo huvaa ili kujipongeza kwa hatua aliyofikia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa anachukuaga fomu za urais halafu baadae anajitoa kugombea halafu anawaelekeza wanachama wake wampigie kura mgombea wa CCM, bangi zina madhara mbalimbali.
Alikuwa ananikera kweli huyu! Nafikiri alikuwa PANDIKIZI LA KIKWETE. Kwani kwenye uongozi/Utawala wa AWAMU YA NNE, alikuwa anawakaba kweli "Wapinzani wenzake"! Awamu hii, imeonyesha HANA CHA KUSAIDIA! Apambane na hali yake!
 
Nilimwona st peter siku jiwe linasali kwa kuwa kanisani harusiwi kuvaa bereti yeye peke yake alivaa hiyo bereti na alikomunika baada ya jiwe kula sakramenti akafuata fahmi dovutwa
 
Back
Top Bottom