Recent content by Dozier

  1. D

    JamiiForums Tanzania Msaada ndugu zangu dawa ya kunguni

    Tumia dawa inaitwa NUVAN utakuja kunishukuru
  2. D

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kurudi tena kazini baada ya kuacha kwa kunyimwa ruhusa ya masomo?

    Nataka nirudi palepale lkn kada nyingine kwa chek namba ileile
  3. D

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kurudi tena kazini baada ya kuacha kwa kunyimwa ruhusa ya masomo?

    Wadau mimi nilikuwa muhudumu wa Afya (medical attendant) niliacha kazi mwaka 2011, niliondoka bila kuaga wala kuandika barua ya kuacha kazi baada ya kunyimwa ruhusa yakwenda kusoma. Nikaenda kusoma fani nyingine (Procurement) Saa hizi nahitaji tena karudi kufanya kazi Serikalini je ntapokelewa...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Training Tutorials

    Anza No. 2
  5. D

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni jamani laptop yangu DELL E6400

    Nitakucheki Hero Lee nipo TIA hapa dar
  6. D

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni jamani laptop yangu DELL E6400

    Hii laptop tatizo lake ni kwamba ikisha waka baada ya sekunde chache ina badilika nakudisplay mwanga tofautitofauti kama slide halafu inajigawa Mara mbili kwahiyo siwezi kufanya chochote some time hata inapowaka ile logo ya window inaonekana twice kwa kufifia
  7. D

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa mambo ya android nisaidieni

    Niliwai kuwa na simu kama hiyo pia ilikuwa na tatizo hilohilo niliangaika sana mwisho nikawasiliana na watu wa Voda wakaniambia niwasomee IMEI za cm nikawapa halafu wakaniambia hiyo cm haiwezi soma 3G.
  8. D

    JamiiForums Tanzania Msaada naogopa kulizwa tena

    simu aina gani? Polisi
  9. D

    JamiiForums Tanzania Msaada naogopa kulizwa tena

    Nina Tsh.200,000 nataka kununua Huawei y530 siitaki ile ya Tigo lkn kinacho niogopesha zaidi ni kubakikizwa kama walivyo nishkisha S4 clone, naijuaje ya ukweli? au nichukue hata tecno P5 tu?
  10. D

    JamiiForums Tanzania Adobe Photoshop Discussion

    Mimi naitafuta sana hiyo CS6 ninayo CS4 mwenyenayo afanye manuva niipate basi.
  11. D

    JamiiForums Tanzania Waliosoma tingi secondary school..

    Unamtoa wapi nakumpeleka huko? tujue namna ya kuku shauri tingi napajua mkuu wa shule hiyo amewai kunifundisha Geograph
  12. D

    JamiiForums Tanzania Msaada Samsung galaxy S4

    Kuna jamaa yeye anatumia Galax pocket anaipata 3G na tunaishi nyumba moja
  13. D

    JamiiForums Tanzania Msaada Samsung galaxy S4

    wataalam nisaidieni simuyangu galaxy s4 haisomi 3G, nimewapigia Vodacom wameniambia nibadilishe network mode kuitoa GSM only niweke WCDMA inagoma kubadilika inang'ang'ania GSM only nime restore factory tatizo bado
  14. D

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada Laptop yangu

    Nipo Singida
  15. D

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa compyuta nisaidieni

    Labda nijaribu kuwarudishia,Niliinunua Dar halafu mimi nipo Singida bado nazidi kuumia kwa garama zisizokuwa na mpango,nashukuru kwa ushauri
Back
Top Bottom