Recent content by doxy

  1. D

    Rais Kikwete amteua Natu Rashid Msuya, kuwa Mwenyekiti wa bodi ya Wadhamini PTF

    Mtaisoma tu watu tunalinda Mali tulizo iba,magfuli ahaminiki bana
  2. D

    TANESCO wamerudia yao, watanzania mtaisoma namba!

    Kata kata tu mpaka mkome
  3. D

    CHADEMA watua ICJ, kupeleka mashitaka ya uchaguzi Mkuu

    Tz imechafuka sana kwa huu uchaguzi.yako mambo hatuta pata tena coz huu uchaguzi.kwa mfano tulikua tunapewa nafasi mbalimbali kimataifa ila sasa wataaza kutuacha. ICC ikisibitisha italeta aibu kubwa kwa raisi akiwa anga za kimataifa. Ona kinacho tokea znz ni aibu tu,ikumbukwe tulipata uhuru...
  4. D

    Kwa hili tukio la leo, ITV wasiachwe hivi hivi, wachukuliwe hatua za kisheria

    Ukirogwaa na ukarogeka ni jambo baya sana.
  5. D

    Mataifa yametushangaa sana watanzania kwa upofu wa akili

    Acheni f...watu tumesoma bure hapahapa tz hatukulipa chocho mpaka tulikua tunapewa madaftali.tena hii imetokea miaka tisini na 2000.mikopo ilianza 2005.hivi tumekua vipofu.
  6. D

    Mataifa yametushangaa sana watanzania kwa upofu wa akili

    Gambas-sikia watanzania hawajafanya kosa ila haki yao imepolwa kwa mabavu na chuki.kinacho tokea tanzania sasa ni dictatorship.
  7. D

    Atakayeisoma namba ni yule mwenye kipato cha chini

    Mimi nilimpa lowasa kura yangu na nishabiki wa chadema sana tu.ila swali nililojiuliza nikua hivi lowasa angeshinda uraisi kweli angeendesha inchi huku chadema wana viti vya ubunge 34.hiliswali limekua gumu sana. But ukweli nikua tumerudi nyuma hatuna moja kwa kuchagua mafisiem
  8. D

    Kulikoni ITV kukata matangazo punde baada ya Rais kutangazwa!?

    Uchaguzi unakwisha pale anapopatikana mshindi,sasa baada ya magufuri kutangazwa mshindi! Nauliza ulitaka ITV wachambue nini zaidi wakati kazi waliyo kua wanafanya imekwisha. ITv haijakaa kisiasa na hawana haja kujipendekeza kwa mtu wao wanafanya kazi ya kuhabarisha uma. Nasiyo ushabiki.harafu...
  9. D

    Elections 2015 Dr. Pombe Magufuli, Rais mteule wa Tanzania awamu ya 5

    Baada ya magufuri kushinda uraisi .serikali imesema wanataka kufanya biashara ya mkaa kua rasmi.hivyo kuanzia sasa wauza mkaaa watakua wanalipa kodi source channel 5
  10. D

    Nyongeza: Chaguzi zetu ni sambamba, siyo moja

    Zec haijasema nini sababu ya kupigana kwa wajumbe wake pia kimetokea nini mpaka sababu hizi tisa zikagunduliwa katikati ya usomaji wa matokeo? Tamko la zec limekuja baada ya viongozi wastaafu kwenda znz hapa kunanini.
  11. D

    Idadi ya wapiga kura za urais na ubunge Segerea inatatanisha

    Kuna jambo baya sana linajongea tz.mungu tusaidie.hivi hata jaji haoni aibu kusoma matokeo mabovu kwa uma,ujue kuna mguu wa kuku kisogoni mwake,hana la kufanya ni kuokoa maisha yake tu.
  12. D

    Matokeo rasmi ya Urais kwa mujibu wa NEC (Official Results) - Uchaguzi Mkuu 2015

    Nacho shangaa ni uwezo alionao lowasa kwani kichwa chake kimeumbwaje maana inapotokea kama anashindwa basi linatokea jambo ambalo linaleta matumaini tena kwake.ngoja tuone anavyo cheza huu mchezo.kama sio kipaji basi ni mungu maana kilicho tokea znz kinaleta ka-uhai fulani hivi. Hebu angalia...
  13. D

    Edward Lowassa aongea na vyombo vya habari, Amesema hatokubali matokeo ya uchaguzi mkuu

    rasasas tatizo nikua matokeo ya jimboni tunayo maana yamebandikwa ila ukifananisha na nec unapata ukakasi wa tofauti iliyopo sasa sijui tatizo liko wapi
Back
Top Bottom