MSIMISEKI SENIOR
JF-Expert Member
- Nov 1, 2014
- 459
- 287
Leo nimejiuliza maswali juu ya walichokifanya ITV.
Kila mtanzania aliipenda ITV kwa namna walivyofanya coverage ya mchakato mzima wa uchaguzi tokea wakati wa kura za maoni ndani ya vyama, kampeni hadi upigaji kura na kutangaza matokeo.
Katika hali ya kushangaza ITV walikatiza matangazo ya uchambuzi wa LIVE mara tu baada ya rais mteule Dr JPJM kutangazwa mshindi na badala yake vituo vilivyoendelea na uchambuzi wa yatokanayo na uchaguzi ni AZAM TV, TBC na STAR TV pekee.
Swali hapa la kujiuliza ni sababu gani ITV walikatisha matangazo? sitaki niamini kwamba walikuwa na upande walio amini labda utafanikiwa na mipango ikawa tofauti! au ndiyo maana habari zao za kuripoti matokeo ziliegemea upande flani zaidi?
ITV tunahitaji majibu tuliwaamini na tunahitaji kwendelea kuwaamini kama SUPERBRAND