Recent content by dovya

  1. D

    Swali kasirishi: Kwanini Paketi ina Condoms 3?

    Bao tatu ndo kiwango la nne uroho
  2. D

    Taarifa kwa wateja wetu wa Umeme waliounganishwa kwenye gridi ya taifa

    Gesi imelowa maji,kidatu mamba kala waya,mtela maji yanamatope, tunafanyia jipeni ,mlizaliwa gizani
  3. D

    Hivi huyu pichani sio Ali Remtullah?

    Atakuwa anatoa tigo
  4. D

    Nikipata sababu za kitaalam na zenye mantiki kwanini Rais Magufuli hapendi kusafiri ng'ambo nitashukuru

    Hajui kingereza, Kule hakuna majipu Anazindua vibanda
  5. D

    Waziri Ummy: Sheria inasema wazazi wote wawili wana jukumu la matunzo ya mtoto

    Makonda hakuna anachojua linakulupuka kama nyau
  6. D

    Hatari! Dada aibukia kwa RC Makonda na kudai ametelekezwa na baba yake ambaye ni Mzee Edward Lowassa

    Yaani Hilo ndilo lilikuwa lengo makonda yupo kama mambo yake kama mipasho ,hakuna analofanya likawakosa cdm ,
  7. D

    Hoja ya kumfuta Nape Nnauye uanachama CCM

    Mkampime mkojo miinzi ya bwana , mkuu apingwi sababu hakosei
  8. D

    Ahadi mbalimbali zilizotekelezwa na CHADEMA kwa wananchi tangu 2015

    Tuta wapa kura tu,mmewabana sana tunajua mbwembwe zenu za mwisho mchezo mnapanga goli la mkono miinzi ya kijani tatizo sana
  9. D

    RC Makonda: Marufuku mtu kutolea matamko ya kichochezi katika Mkoa wangu wa Dar es Salaam

    Duh huyu kilanza no shida ,je atakapo toa matamko utamshitaki kwa sharia gani ,yana mwisho madaraka mjomba kila kitu unataka kumfurahisha mkuu
  10. D

    Waraka wa Pasaka kutoka kwa mhandisi ujenzi mzalendo

    Hakuna cha maana ulichoandika walaka huu mpelekee mamaako
  11. D

    Kardinali Pengo: Watanzania wa dini zote mniombee

    Kaombewe magogoni au Lumumba kibaraka we
  12. D

    Nini kilimuua Mehmed II aliyetaka kuufuta ukristo/dola ya kirumi ulaya ??

    Hii picha yake enzi hizo kamera zilikuwepo?kimsingi Mimi huwa najiuliza wema unaenezwa VP kwa panga?kisha mtendaji anapewa sifa ya ushujaa Mimi naona mungu aliamua kumwondoa kwa njia hyo
  13. D

    Askofu Hotay aionya Wizara ya Elimu na mabadiliko ya mara kwa mara

    Mijitu mengine yanataka kusikia co kukosolewa mkapa mwenyewe kaona madhaifu ya elimu yetu kaongea we unasema tuonge mkono tu huna akili mtoa mada
  14. D

    Ushauri wangu wa bure tu kwa Mheshimiwa Rais Dr. JPM na Wasaidizi wake

    Mbona ulaya Haendi au hajui kithungu kama Mimi
Back
Top Bottom