Recent content by Doug Stamper

  1. Doug Stamper

    JamiiForums Tanzania Dkt Mwigulu: Michezo itaanza kuhamasisha ulipaji wa kodi

    DODOMA - Waziri wa Fedha Dk Mwigulu Nchemba amesema wizara imetenga fungu katika Mamlaka ya Mapato Nchini (TRA) kwa ajili ya kuhamasisha elimu ya mlipa kodi akiwataka Simba kutumia fursa hiyo.
  2. Doug Stamper

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Siasa chafu dhidi ya Mwigulu ni woga wa 2030

    Bado unaota mkuu, yule ndio kaishia pale hasogei hata hatua moja mbele. Save my word.
  3. Doug Stamper

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Siasa chafu dhidi ya Mwigulu ni woga wa 2030

    Katika kila zama za siasa, kuna wanasiasa wachache wenye dira, msimamo, na rekodi safi ambao wanapopata umaarufu na kuwa tishio kwa wapinzani wao, huanza kushambuliwa kwa propaganda chafu, uvumi na hila ili kuwaharibia taswira yao kwa umma. Leo hii, Tanzania inashuhudia smear campaign ya wazi...
  4. Doug Stamper

    JamiiForums Tanzania DKT. Mwigulu Nchemba: Kiongozi mwadilifu na nguzo ya maendeleo ya taifa

    Tangu kuteuliwa kwake kama Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba ameendelea kuonesha uadilifu, uthabiti na umahiri wa hali ya juu katika usimamizi wa uchumi wa Tanzania. Licha ya juhudi za wapinzani wake kueneza kampeni chafu dhidi yake, ukweli unabaki palepale—hana doa la ufisadi, hana tuhuma...
  5. Doug Stamper

    JamiiForums Tanzania Mwaliko kwa Wadau kushiriki katika Shughuli za Kamati ya Maboresho ya Sera za Kodi (Task Force on Tax Reforms)

    Serikali kupitia wizara ya Fedha inaomba maoni yako kuhusu vile unatamani sheria za kodi kwa mwaka ujao wa fedha ziwe. Kipi kiongezwe, kipi kiondolewe kodi, kipi kipewe unafuu wa kikodi etc. Toa maoni yako sasa. https://maoni.mof.go.tz/
  6. Doug Stamper

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makonda amjibu Waziri Bashe, asema atamhoji sababu yeye ndiye anakitafutia kura chama

    Imekuwa wiki ya kutupiana vijembe kati ya mahasimu wa muda mrefu Husein Mohamed Bashe na Paulo Christian Makonda, mahasimu hao wa muda mrefu toka 2014 wakiwa katika makundi ya kuusaka urais wa 2015, Makonda ambae ni kijana wa Sitta adui mkubwa wa Mzee Lowassa walianza kutupiana maneno makali...
  7. Doug Stamper

    JamiiForums Tanzania Mwigulu acha siasa za maji taka

    Huijui iramba kaa kimya, Iramba ya Mwigulu sio hiyo mliyoizoe. Iramba ya Mwigulu ni hii; ina rami kila mahali. Ina Taa za barabarani mpaka kwenye mapalio. Ina madaraja kila kona Ina zahanati kila kijiji Ina mabweni ya kila kata Ina High school kila tarafa Ina miundombinu ya kutosha hadi...
  8. Doug Stamper

    JamiiForums Tanzania Mwigulu acha siasa za maji taka

    2020 alipata kura 14 Mwigulu akapata 600 na ushee, Mwambie katala awe busy na kujenga gest house ndio anachoweza.
  9. Doug Stamper

    JamiiForums Tanzania Mwigulu acha siasa za maji taka

    2020 Mwigulu alipata kura Kura 677 Katala ukapata kura 14. Mwigulu kapeleka VETA iramba kabla ya hizo ngonjera zenu na kile kikundi chenu cha wajinga wa mjini. Iramba ina meremeta inang’ara imebadilika, kubwa zaidi Iramba, Singida na Kanda ya kati zimeheshimika kitaifa kupitia Mwigulu, na Kwa...
  10. Doug Stamper

    JamiiForums Tanzania IMF yawapongeza Rais Samia na Waziri Mwigulu Nchemba

    IMF YAMPONGEZA DKT SAMIA SULUHU HASSAN NA DKT MWIGULU NCHEMBA. •Yasema MR CLEAN ni Waziri Bora wa fedha afrika. •Facts hizi za kichumi zimembeba. Shirika la fedha la kimataifa IMF limemtaja Waziri wa Fedha wa Tanzania Mhe Dkt Mwigulu Nchemba (ambaye watanzania wengi hupenda kumwita “ Mr...
  11. Doug Stamper

    JamiiForums Tanzania IMF yawapongeza Rais Samia na Waziri Mwigulu Nchemba

    IMF YAMPONGEZA DKT SAMIA SULUHU HASSAN NA DKT MWIGULU NCHEMBA. • Yasema MR CLEAN ni Waziri Bora wa fedha afrika. • Facts hizi za kichumi zimembeba. Shirika la fedha la kimataifa IMF limemtaja Waziri wa Fedha wa Tanzania Mhe Dkt Mwigulu Nchemba (ambaye watanzania wengi hupenda kumwita “ Mr...
  12. Doug Stamper

    JamiiForums Tanzania IMF yawapongeza Rais Samia na Waziri Mwigulu Nchemba

    •Yasema MR CLEAN ni Waziri Bora wa fedha afrika. •Facts hizi za kichumi zimembeba. Shirika la fedha la kimataifa IMF limemtaja Waziri wa Fedha wa Tanzania Mhe Dkt Mwigulu Nchemba (ambaye watanzania wengi hupenda kumwita “ Mr Clean ”) ni daktari bingwa wa uchumi na mtaalam halisi wa uchumi na...
  13. Doug Stamper

    JamiiForums Tanzania Tafakuri Mwalimu Kmaro, amchambua Mr Clean kinagaubaga

    TAFAKURI YANGU KATIKA SIKU HII YA KUADHIMISHA MIAKA 62 YA UHURU Anaandika Mwalimu Zuberi Kimaro wa Kyeer, Machame Kwanza Hongera sana kwako Rais Dr. Samia Suluhu Hassan, kwako nimeridhika 100%, utendaji wako hauna mashaka kabisa, ni fact ambayo wanasheria huiita undisputed one! Leo nataka...
  14. Doug Stamper

    JamiiForums Tanzania Mr Clean awakosha wakandarasi, kuanzia sasa wazawa kupata kazi kubwa wawaajiri wazungu

    https://youtu.be/WHZ_MlIAOOs?si=jVJlAcy5ExWQKi7B Serikali imeweka kwenye Sheria kiwango cha thamani ya miradi iliyokuwa ikitekelezwa na wazawa kutoka shilingi bilioni 10 hadi shilingi bilioni 50 ili kuwawezesha wazawa kunufaika na kuwafanya wawe walipakodi wakubwa kwa maendeleo ya nchi. Hayo...
Back
Top Bottom