Hawezi kujaribu kujiongezea muda kwan alitamka kuwa katiba haikua ajenda yake kuu katika uchaguzi.Tusikilize matamko yake ya barabarani kama ateweka nia hiyo na atake iwe amri..
Kumuongezea muda itakua ni ufala wa shahada ya uzamivu,kazi ya kujenga taifa haijawah kukamilika nitacheka sana kama...
Hataweza kuongeza muda ameshasema katiba haikua kati ya ajenda zake kuu wakati wa uchaguzi,tuuendele kusikiliza matamko anayotoa kama ataonyesha nia hiyo.
Kumuongeza muda itakua ni ufala wa shahada ya uzamivu,kazi ya kujenga taifa haijawai kukamilika inchi yyte atakapo jaribu kutuaminisha hivyo...
Hyo sio kazi yake tena.. Hapa sijui tunajifunza nn aliye fanya kosa ameaachwa aliyewajibika,muwazi ndie anaonekana mbaya.hii fisiem haijaanza leo toka enzi za richmond..[emoji41] [emoji40]
Hapa hatuhitaji kufanya mental state examination ni dhahiri huyu m2 wetu ana POOR INSIGHT...so kama hata sindano haitaweza kufanya kazi inabidi ndg. Magafu tujaribu kutafuta nama nyngine ..#kichaaa kapewa rungu.[emoji40] [emoji111]
"Sisi ndio watawara,mavyeo yapo mengi"..... bas Bashite Makondakta awe mnyapara segerea ili wadau wasigonge kama ile kitu ya arusha maana hicho ndio cheo anacho stahili GPA yake inaruhusu...
This is insanly cool... ila mwenye uwezo wa kumsaidia nae ni insane, sane wao wanaonekana insane wakati wao ndio wanajaribu kumsaidia na kuisaidia nchi inayoongozwa na insanes.[emoji111]
Ni kweli mamlaka ya kumtumbua yapo mikononi kwa mh.. raisi ila upande wa pili haualalishi alichokifanya RC...
"Mm siyumbishwi na mtu yeyote,hata fomu ya urais nilienda nilienda kuchukua mwenyewe" JPM
Hvyo hyo ego yake ni noma...sio kwamba ameshindwa kumtumbua kwa sababu ni wapinzani ndio...
"URT need intellectuals in leadership positions and not technicians"...Zitto kabwe
RC Dsm has all blessings from his exellency... and so i ask what kind of discipline is said to be imparted in our current gvrnment..?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.