si wote tulizaliwa kuwa maaskari, maana hata kulinda haki za binadamu hata wachungaji, maaskofu, wanasheria hufanya kazi hizo kwa njia mbalimbali, hivyo sio lazima kufanya wote tuwe maaskari though ukakamavu ni sehemu mhimu sana ktika maisha....... jeshini ni sehemu ambayo watu hufunzwa...
hivi kitendo cha viongozi wetu kufanya vibaya katika kazi zao pindi wanapopewa madaraka je, tatizo huwa ni uteuzi katika nyadhifa hizo au tatizo ni kwa waheshimiwa wanaoteuliwa kuwepo madarakani ? mnisaidie.
Ahsanteni.
exactly, mtu wa kwanza siku zote ndo hufungua njia kati ya watu wawili katika mapenzi ndo maana husababisha hawa watu wawili kukumbukana isivyo kawaida, na mpango wa Mungu ni Kuhakikisha kila mmoja wetu anaye mmoja tu kama Adam na Eva ktk Bustani ya Eden....
pia, katika katika sababu 18 za...
this is what we want, kiongozi ni lazima uwe na maamuzi Magumu kama haya ili wananchi wako waweze kutambua umhimu wako pindi uwapo madarakani, tunamshukuru raisi wetu kwa uamuzi alioutoa, maana wanyonge ndo walikuwa hasa wahanga wa kodi hii ya simu,
Ahsanteni.
kwa kweli inashangaza sana tunapoona mambo kama haya yakitokea katika dunia hii na hii inadhihirisha ukomo wa dunia, haiwezekani watu wenye jinsia moja wakifunga ndoa, Ee MU NGU tuepushe mbali nalo janga hili lisiguse jamii inayotuzunguka, tuyaonapo haya ni lazima tuchangamke ahsanteni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.