exactly, mtu wa kwanza siku zote ndo hufungua njia kati ya watu wawili katika mapenzi ndo maana husababisha hawa watu wawili kukumbukana isivyo kawaida, na mpango wa Mungu ni Kuhakikisha kila mmoja wetu anaye mmoja tu kama Adam na Eva ktk Bustani ya Eden....
pia, katika katika sababu 18 za wapendanao kuvunja upendo wao ni kufanya tendo la ndoa au kujaribu kufanya kilichokatazwa ili kuona kitatokea nini ?, hii hupelekea nyie wenyewe kwanza kabisa husababisha kutoweka kwa uaminifu na kuaminiana kati yenu, na hii ndo inapelekea mtu kutoa mada kama hiyo kwamba mtu hupenda mara moja tu.
ahsanteni.