Recent content by Dotto Kajole Fimbo

  1. Dotto Kajole Fimbo

    Natafuta kazi, nimesoma Bachelor of Finance na uzoefu mwingi

    Pole sana mkuu. tupe mrejesho kukoje huko kuzimu.
  2. Dotto Kajole Fimbo

    TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

    Sababu ni kiongozi wa kitaifa bila shaka angepelekwa ili kutoa fursa kwa watanzania wengi kumuaga.
  3. Dotto Kajole Fimbo

    Kampuni ya ku organize tour

    nakwambia kupata faida ni mpaka u break even, kinyume na hapo ni mwendo wa kuunguza mtaji tu.
  4. Dotto Kajole Fimbo

    Uongozi BAWACHA: Suzan Kiwanga ajitosa rasmi kuwania Uenyekiti wa BAWACHA Taifa

    Uchaguzi ni mpaka 2025. Mkuu yupo chimbo kafunga Kwaresma analiombea Taifa.
  5. Dotto Kajole Fimbo

    Inachekesha ila inasikitisha kwa upande mwingine.

    Mshauri siku nyingine akituma atume na ya kutolea ili kuleta utofauti.
  6. Dotto Kajole Fimbo

    Waziri wa Malawi asafiri kwenda Uswizi kuhudhuria kikao alichotakiwa kushiriki kidigitali, azungumza mbele ya ukumbi usio na watu

    Bila shaka hajavunja katiba ya nchi. Piga kazi waziri, hakuna maisha baada ya kifo.
  7. Dotto Kajole Fimbo

    Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

    Jitazame wewe mwenyewe una kipaji gani mfano ususi / mapishi then anzisha biashara kutokana na kipaji ulichonacho hii itakusaidia kupunguza changamoto ndogo ndogo zinazoweza kujitokeza kama vile usimamizi n.k
  8. Dotto Kajole Fimbo

    Vigezo kujiunga na Chuo cha uhifadhi wanyama pori (degree)

    ongeza na CAWM - Mweka Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
  9. Dotto Kajole Fimbo

    Vigezo kujiunga na Chuo cha uhifadhi wanyama pori (degree)

    Wacha kulia lia, Tafuta online TCU Guide book majibu yote utayapata.
  10. Dotto Kajole Fimbo

    GE2020 Aida Khenani (CHADEMA): Siwezi kuwasaliti wananchi wa Nkasi Kaskazini, mimi ni mbunge halali, ninasubiri kuapishwa tu

    Bora kabisa ata mlivyopata hivyo viti viwili tu. Bunge lililopita mmetusumbua sana kuitisha uchaguzi kila mara sababu tu ya kukosa kwenu msimamo na kuishia kuunga juhudi. Kwa sasa walau nchi italuia.
  11. Dotto Kajole Fimbo

    GE2020 Imani yangu kwa Rais Magufuli hiyo kesho tarehe 28/10/2020

    Ukimya nao huwa ni jibu tosha. Muda mwingine kujibizana na mtu ni njia ya kumfanya awe maarufu kwa jamii ama kuufanya uongo uonekane ukweli. Magufuli alikuwa sahihi kabisa kukaa kimya hivyo anastahili 5 tena. Alafu hivi kweli Rais ni wa kujibizana na ka raia kake kweli!
  12. Dotto Kajole Fimbo

    GE2020 Imani yangu kwa Rais Magufuli hiyo kesho tarehe 28/10/2020

    Thibitisha kwamba yeye ndo kawapoteza. siku zote hatuwezi kuishi kwa matukio ya kutengenezwa.
  13. Dotto Kajole Fimbo

    GE2020 Imani yangu kwa Rais Magufuli hiyo kesho tarehe 28/10/2020

    Kumuunga mkono mtu anayefanya vizuri si dhambi. Magufuli 5 tena.
Back
Top Bottom