Recent content by Dorkan

  1. D

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli afanya ziara Ikulu, aonesha umahiri katika kushona

    kushona cherehani na maendeleo wapi na wapi ndugu,think big man!
  2. D

    JamiiForums Tanzania When ovulation resume after delivery

    mmh atakama umeshoneka jamani?@brenda
  3. D

    JamiiForums Tanzania Ndege za kwenda Mtwara kutoka Dar

    Byakazoba unaweza kunisaidia contact zao
  4. D

    JamiiForums Tanzania Ndege za kwenda Mtwara kutoka Dar

    Asanteni sana
  5. D

    JamiiForums Tanzania Ndege za kwenda Mtwara kutoka Dar

    Habari za asubuhi wandugu. Samahani sijui kama niko ktk jukwaa sahihi au la ila ningependa kufahamu ni shirika gani la ndege linafanya safari za Dar-Mtwara? na ni kiasi gani?
  6. D

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mfuko wa hifadhi ya jamii (NSSF /ZSSF)

    nashukuru sana ndugu zanguni kwa ushauri wenu
  7. D

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mfuko wa hifadhi ya jamii (NSSF /ZSSF)

    asante mpendwa wangu,na je kama ukichangia kwa mwaka mmoja then kibarua kikaisha,wanakuwa na utaratibu gani?
  8. D

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mfuko wa hifadhi ya jamii (NSSF /ZSSF)

    Habari za jioni wadau! Nimepata ajira,lakini natakiwa kuchagua moja wapo ya mifuko ya hifadhi ya jamii. Naomba ushauri kwa mwenye uelewa na hayo mambo. Natanguliza shukrani
  9. D

    JamiiForums Tanzania Kumuachisha mtoto kunyonya

    ok,nimekupata vizuri sana,asante!
  10. D

    JamiiForums Tanzania Kumuachisha mtoto kunyonya

    yah,nlianza kumuachisha kunyonya mchana tangu akiwa na mwaka unusu,tabu ni usiku tu
  11. D

    JamiiForums Tanzania Kumuachisha mtoto kunyonya

    haa haa haa! Wewe acha utani bwana.
  12. D

    JamiiForums Tanzania Kumuachisha mtoto kunyonya

    asante mpenzi kwa ushauri. Kuhusiana na swali ulilouliza situation iko complicated kidogo.
  13. D

    JamiiForums Tanzania Hamjambo?

    nashukuru sana!
  14. D

    JamiiForums Tanzania Hamjambo?

    asante sana
Back
Top Bottom