dah! issue ya visa pale ubalozi sio mchezo.., jiandae kifedha upande wa visa application na pia kisaikolojia, kukataliwa visa ndio kukubwa kuliko kupewa hasa kwa vijana. visa zinazotoka bila shida ni aged people kama mama yake huyo aliyekualika. nakutakia mafanikio mema.
kwa shauku ya kujua kuhusu ili kanisa lipoje, siku moja miaka ya 2006 niliingia la pale external, wanatumia kitabu cha mormons unaweza kufuatilia kwa undani imani ya wa-mormons.
ni kweli huwezi kuwa na huruma kwao ni mpaka utakapoelewa tupo katika wakati gani. kuaminiana kumepungu sana, marafiki, ndugu au walio karibu yako wanaweza kukutumbukiza katika majanga bila kujua.
wanatokea au kukaa mkoa gani? nijuavyo wa-tz wana makabila mengi na kabila hizi zina utani kati ya moja na nyingine, je watusi wana watani wao katika huo mkoa wanaotoka na ni kabila lipi?
watoto wa sasa wanamaliza darasa la saba na wanaingia sekondari wakiwa na umri mdogo ukilinganisha na huko nyuma, hivyo sidhani kama wataweza kufanya hiyo kunji.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.