Recent content by Doricy

  1. D

    Je, wajua dawa ya kuzuia kutapika?

    Limao linafaa pia kama hamna ndimu?
  2. D

    Kuna umuhimu wakujua jinsia ya mtoto ukiwa mjamzito

    Mtoto ni zawadi, muhmu kujua afya yake km yuko salama.
  3. D

    Kwa hili mmmh nomaa mitihani ya mapenzi ni heri ya darasani au ya maisha

    Ulitaka atoe? Mi nampa big up mdada kwa kuamua kutotoa. True love inahtajika kwa wote.
  4. D

    Msaada, anayeweza kumsaidia FIGO ndugu yangu tutamzawadia

    Mmh ndugu wa kweli hujitolea kwa lolote, Unataka msaada au unanunua?
  5. D

    Nafasi za kazi utumishi

    Duh hapo inabd kuapply liwalo na liwe
  6. D

    Urinary Tract Infection (UTI): Chanzo, Dalili na Kinga/Tiba yake

    Nimepima mkojo leo naambia kuna few pus cell. Dokta kasema ni UTI. Bado sijachukua dawa maana wao wakikuandikia inabidi ununue kwao.Ni dawa gani ambayo ni nzuri..
  7. D

    pata faraja ya kazi toka Simgas.usikae nyumbani bure

    Duh mfafanue mnaojua tusitapeliwe.
  8. D

    erolink upumbavu mtupu na matapeli

    Nipeni mie huo mchongo sichagui.
  9. D

    Msaada, Nani anaifahamu NGO inaitwa Health Gear

    Yaani jina la kampun na email tofauti wizi m2pu. Akili kumkichwa.
  10. D

    Kutongoza ni tusi au?

    Kushawishi.
  11. D

    Msaada pls

    Yataacha meza dawa za maumv na kunywa v2 vya baridi ikiwzekana loweka kitambaa kabla ya kulala uweke kwenye matiti
  12. D

    Ukimwi unaniuwa kwa haraka jamani

    Kuwa na subira mrudie Mungu wako hakuna linaloshndkana.
Back
Top Bottom