Nafasi za kazi utumishi

hizi nafasi zimetoka kwenye gazeti la serikali au bado nataka nijue refference nitaandika nimeona kwenye gazeti gani au through ajira.go.tz
 
hizi nafasi zimetoka kwenye gazeti la serikali au bado nataka nijue refference nitaandika nimeona kwenye gazeti gani au through ajira.go.tz
wewe andika umeona kupitia ajira.go.tz, ukisema JF wanaweza wakahisi wakikuajiri utawalipua.
 
Ebu naomba unipe namba ya jamaa yako thr 0769769249[/QUOTE] Mambo hayaendi hivyo ndugu yangu nikupe namba ili iweje au unataka mtu wa kukushika mkono? we tuma tu maombi halafu hata ile tarehe waliyoikosea kwenye lile tangazo la kiingereza washabadilisha badala ya 9 March wameandika 9 April
 
Wakuu naomba mtuwekee hapa hzo post,wengne tuna simu za kichina na tupo huku namtumbo vijijini. Please do a favour us.
 
Duh!jana cjui ilikuwaje cjaingia hili jukwaa,halafu mbona naingia kwny hyo link sielewi elewi?
Msaada
1. Click hiyo link na itafunguka web page ya utumishi
2. UPande wa kushoto kuna files 2 moja wapo limeandikwa TANGAZO KISWAHILI March 2013 uta click unalolitaka
3. Litafunguka hilo file ambalo umelichagua, Chini kuna sehemu inakutaka U DOWLOAD, click hapo
4. Itatokea msg kukuuliza Do you want to open or save.... wewe utachagua open then litafunguka
 
Wakuu naomba mtuwekee hapa hzo post,wengne tuna simu za kichina na tupo huku namtumbo vijijini. Please do a favour us.

upo vijijini wapi? libango, mtonya, mchomoro, mandepwende, minazini, rwinga, suluti, luegu, kibulungutu, nafco, au nenda pale wilayani kwa mkurugenzi watakuwa washabandika mkuu tupo pamoja numbalile
 
xii. WAAJIRI WOTE WALIOPO NJE YA DAR ES SALAAM WANAOMBWA
KUSAMBAZA MATANGAZO HAYA KWENYE MBAO ZA MATANGAZO NA
MAENEO MENGINE.
xiii.
Mwisho wa kupokea barua za maombi ni tarehe 9 Aprili, 2013
xiv.
Aidha, uwasilishaji wa barua kwa mkono katika ofisi za Sekretarieti ya ajira
HAURUHUSIWI.

download tangazo la kingereza, wameandika deadline ni 9th march, bt itakuwa ni typing error tu
 
xiii. Certificates from foreign Universities should be verified by Tanzania
Commission for Universities (TCU)
xiv. Dead line for application is 9th March, 2013 at 3:30 p.m
xv. Applicants with special needs/case (disability) are supposed to indicate
 
download tangazo la kingereza, wameandika deadline ni 9th march, bt itakuwa ni typing error tu
Ni kweli jana lilikuwa linasomeka deadline 9 March but naona wamerekebisha sasa ni 9 April ni typing error ukizingatia tupo mwezi March au cjui ndo mambo ya Pasaka ila wanapaswa kuwa makini sana!
 
xiii. Certificates from foreign Universities should be verified by Tanzania
Commission for Universities (TCU)
xiv. Dead line for application is 9th March, 2013 at 3:30 p.m
xv. Applicants with special needs/case (disability) are supposed to indicate
xi. Applicants who have/were retired from the Public Service for whatever reason
should not apply.
xii. Applicants should indicate three reputable referees with their reliable contacts.
xiii.
Certificates from foreign Universities should be verified by Tanzania
Commission for Universities (TCU)
xiv.
Dead line for application is 9th April, 2013 at 3:30 p.m
xv. Applicants with special needs/case (disability) are supposed to indicate
xvi. Women are highly encouraged to apply
xvii. Only short listed candidates will be informed on the date for interview
xviii. Application letters should be written in Swahili or English
xix.
APPLICATION LETTERS SHOULD BE POSTED TO THE FOLLOWING
ADDRESS. HAND DELIVERY IS NOT ACCEPTABLE:
Secretary OR Katibu
Public Service Recruitment Sekretarieti ya Ajira katika
Secretariat, Utumishi wa Umma
P. O. Box 63100 S. L. P 63100,
DAR ES SALAAM. DAR ES SALAAM.
 
1. Click hiyo link na itafunguka web page ya utumishi
2. UPande wa kushoto kuna files 2 moja wapo limeandikwa TANGAZO KISWAHILI March 2013 uta click unalolitaka
3. Litafunguka hilo file ambalo umelichagua, Chini kuna sehemu inakutaka U DOWLOAD, click hapo
4. Itatokea msg kukuuliza Do you want to open or save.... wewe utachagua open then litafunguka

Thans mkuu,nimekusoma
 
yaani kila nikiangalia fani yangu ya marketing sioni!dah!au ndo mambo ya afisa mtendaji liwalo na liwe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom