Uzi pekee wa britanicca ambao umegoma kutembea toka muda uliowekwa. Mkuu hii inaonekana hata AI imeshindwa kutafsiri. Wangeshatuwekea hapa. Saidia wananchi tafadhari.
Makumbele sasa kama hakuna fidia, wala kutoa adhabu kwa yeyote anayevunja katiba bado kunaombwe kubwa tu. Wanasiasa wanaweza kuvunja katiba kwa makusudi, ukakaa kando kisha mahakama ikaja tu kutafsi kuwa ilipaswa iwe hivi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.