Yani wewe mleta uzi nadhani hazikutoshi vizuri, mna miaka miwili kwenye mahusiano,umemzalisha mtoto wa watu hata kwao bado hujaenda kumtolea mahari unataka tena akupe k,,usikute matunzo yenyewe magumashi maneno mengi vitendo zero kwanini asikudharau?.jitazame upya kasoro zako ,hakuna mwanamke...