Je utoaji mimba ndio suluhisho?

Je utoaji mimba ndio suluhisho?

ha ha ha ha hili nalijua na sitegemei lazima mahusiano yawe ya ndoa .......
wengi wenu mnatoa ahadi hewa ndo mana wanaamua kuwabebea mimba zenu bila kupanga

salsa hapo ndipo mnajiumiza wenyew unambebea mtu mimba wakat hamjapanga hilo lazma ulile name wa kwenu myfriend
 
kuna dadangu mie alipata mimba jamaa kaja juu oooh hujui siku zako ooh me sipo tayari kulea saizi akamwambia atoe sister akamwambia poa nipe hela nkatoe hakuitoa bdae kamwambia si nilikwambia utoe akasema pesa iliibiwa akampa nyingine then sister akabadili line, baada ya miez akajifungua mtoto wake safi akaanza kumlea,saizi jamaa anakuja juu eti anataka mwanae,hivi mtu kama huyu unamwambiaje?.
 
Simple mimba yako nilitoa, huyu mtoto si wako,otherwise bado anampenda huyo kaka na yupo tayari kumsamehe maana wakati mwingine na sisi wanawake tunakuwa "sitaki nataka"
 
Badala ya kuwashauri watumie njia mbadala kwa nini wasiache kabisa. Hao watoto waache kabisa kujihusisha na mapenzi wakiwa na umri mdogo, na hao wake za watu watulie na waume zao. Hawatapitia shida zote hizi wakiacha na kutulia.
 
Kweli kabisa hayo najibu ya wavula, kwa wanaume wanaojielewa hawana hayo majibu ya kitoto. They are cowards

kabisa tena mkuu.
Mwanaume atasimamia actions zake tu.
Wavulana ndio wanawapa wasichana hela za kutoa mimba.
 
Ni kwel ni laana na hata huwa mara zote ni majuto kwa mwanamke maana ndo muathirika na ndo anayelegeza nakuharibu kizazi,na pia kubaki na maumivu hayo moyon mwake miaka yote...
 
kuna dadangu mie alipata mimba jamaa kaja juu oooh hujui siku zako ooh me sipo tayari kulea saizi akamwambia atoe sister akamwambia poa nipe hela nkatoe hakuitoa bdae kamwambia si nilikwambia utoe akasema pesa iliibiwa akampa nyingine then sister akabadili line, baada ya miez akajifungua mtoto wake safi akaanza kumlea,saizi jamaa anakuja juu eti anataka mwanae,hivi mtu kama huyu unamwambiaje?.

hapo naona upo nje kabisa ya mada swali langu ni "utoaji mimba ndio suluhisho?"
 
Back
Top Bottom