Recent content by dorboy org

  1. D

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi mtoto wa miaka 34 kufukuzwa nyumbani?

    Mtoto kwa mama au baba hakui bhana, huyo bado ni mtoto
  2. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wanakuwaga mzunguko na hot days?

    Hawana wao mda wote wako hot,
  3. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hello future Hubby

    Muombe akuvumiie mpaka 2026 utakuwa umefikisha 35
  4. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hello future Hubby

    Hapo sifa sina
  5. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naumaliza mwaka Kwa machungu ya kuachana na mwanaume wangu niliyempenda sana

    Tengeneza penzi jipya, ila ujue kila kitu kina mwanzo na mwisho,
  6. D

    JamiiForums Tanzania Wanawake wanaongoza kuvunja ndoa Kilimanjaro

    Sasa mbna kuvunja ndoa na ulichoeleza ni different
  7. D

    JamiiForums Tanzania Kama unatafuta nyumba ya kupanga DSM, kuna vitu vya kuzingatia usivichukulie poa!

    Otherwise utajikuta unawahi kurudi kuogopa kufungiwa geti kama mtoto. Zamani nilikua ata saa 8 usiku naweza kutoka sahivi nawahi home saa 4 wasije funga geti. Nishalalamika ila ndio ivo, kila siku ahadi hewa. Hapo nimekuelewa mkuu
  8. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna mafanikio makubwa kwa mwanamke wa kibongo zaidi ya kuolewa?

    Ni kweli mkuu, unaoa alafu unaanza kuteseka
  9. D

    JamiiForums Tanzania Ajira za walimu zimepotelea wapi?

    Tatzo wanatangaza ajira alafu inachukua longtime, kama walikuwa hawajajipanga wangeacha kwanza Sio kila wakati mtu anawaza kitu ambacho hakipo
Back
Top Bottom