Mathayo 24:7
Taifa moja litapigana na taifa lingine; ufalme mmoja utapigana na ufalme mwingine. Hapa na pale patakuwa na njaa na mitetemeko ya ardhi.
Luka 21:10
Kisha akawaambia: “Taifa moja litapigana na taifa lin gine na utawala mmoja utapigana na utawala mwingine.
Kwa Businesses wanaiita bad debt..Afadhali unge invest hiyo pesa mahali ukafanya japo biashara ikupe returns. Kukopa pesa ya mahari inafanya ni question your ability to provide.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inategemea ndoa yenu mmeijenga katika misingi ipi, ikiwa mme-base sana katika upande wa physical kdgo kutakuwa na challenge but kama nyote ni watu mature mnaelewa ni nini mnataka basi sioni problem yoyote, you'll control your emotions mpaka ur better half atakaporudi kwan ulaya ni akhera lol...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.