Korea vs. Marekani: Bibilia inasemaje??

Korea vs. Marekani: Bibilia inasemaje??

Jojo123

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2013
Posts
437
Reaction score
715
Matukio ya Kuashiria Mwisho Wadunia nipale Taifa Dogo lisiloweza hata Kupewa Chembe ya kufikiriwa Litakapo Lipiga Taifa Kubwa Lenye Nguvu na linalo Ogopeka duniani..

Wale wapenzi WA kusoma vitabu vitakatifu.. Watusaidie hilo andiko lilisema Taifa dogo litatokea Upande gani wadunia???

Am very worried...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo unalosema halipo,wala korea kaskazini haipo ktk utabiri.Marekani ipo(mnyama mwenye pembe mbili ufunuo 13:11+)lakini c kwamba itapigwa na taifa lolote duniani ila lenyew litalazimisha watu wte duniani kumsujudia mnyama wa kwanza(utawala wa waroma).Marekani haitoangushwa na nchi yeyote hadi mwisho wa Dunia.Kwa kifupi huo ndio unabii wa ufunuo 13

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh kuna mstari unaosema Taifa dogo litaisambaratisha taifa kubwa... Nadiya huo mstari tatizo nimesahau ni kitabu cha nani na mstari gani ila upo huo mstari.. Na ukasisitiza ifikiapo hapo ndio ishara kuu Za Kukatibia mwisho wadunia..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mathayo 24:7
Taifa moja litapigana na taifa lingine; ufalme mmoja utapigana na ufalme mwingine. Hapa na pale patakuwa na njaa na mitetemeko ya ardhi.



Luka 21:10
Kisha akawaambia: “Taifa moja litapigana na taifa lin gine na utawala mmoja utapigana na utawala mwingine.
 
you don't have to be worried kwa sababu Mwenyezi Mungu ameshapanga yote.
 
Back
Top Bottom