Recent content by dor

  1. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Inapita wiki nzima mkeo/mpenzi wako hajakuomba hela jiulize mara mbili..

    Wanaume jaman mmetuchukia tukiomba kosa, tusipoomba tena mnajiulizaa?
  2. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi hawa wanawake wa kilokole(wafia dini) wana matatizo gani?

    Sio kila anaekwambia ameokoka anamaanisha. Usiwahukumu wote.
  3. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadada tafuteni pesa la sivyo wanaume wazuri mtaishia kutuita kaka na baby

    Sio rizik kwa kweli, nnavyojua mzuri pesaaaa tu we wakawaida sanaaaaa
  4. D

    JamiiForums Tanzania hapa ndo utaamini wachagga ni Kabila bora hapa TZ

    Wapiga debe wapo tena wapiga finga, pia umeme unakatika tu.
  5. D

    JamiiForums Tanzania dalili za ukimwi huchukua mda gani kujionyerha

    Hiyo ni cheni ambayo itawaumiza hata wa karibu yake kwani njia ndo zilezile anahisi anawakomesha wenye tamaa zao ila akubari kuwa unawahusu wa karibu ndugu jamaa na marafik pia. Muhimu ni kujikubari na kumrudia mungu. Haina sababu ya kuondoka na wengi wakati uwezekano wa kuondoka peke yako upo...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Mhadhiri wa UDSM auawa kwa risasi jijini Dar es Salaam

    R.I.P Lectur.
  7. D

    JamiiForums Tanzania Vijimisemo vya zamani

    Danga chee kama kusema mambo vipi? adiosi -mambo mengine, amigo- yako pouwa.
  8. D

    JamiiForums Tanzania Mwanaume kutotoa huduma yeyote katika kipindi cha ujauzito.

    Pia watu tumejitenga sana na Mungu hivyo hofu ya Mungu haipo kabisa, embu tujitahidi kusali. maana kuwa na hofu ya MUNGU inasaidia hata kuwa na moyo wa imani hivyo lazima uwe na huruma kwa mwenzi wako na kijacho.
Back
Top Bottom