Very controversial. Kwenye mikusanyiko watu wamejaa kwenye viringe vya kitaa na mitandaoni ni matusi na kebehi Kwa kwenda mbele! Swali hao wanaokusanyika kwenye matukio hayo wakimaliza shughuli mapenzi Yao huenda wapi ?
Nimemsikiza mara nyingi , Tena na Tena, na nimejiridhisha ni kijana smart kabisa, akili njema, mwadilifu, na anapaswa kuungwa mkono Kwa Hali na amali. Mimi ntamuombea Kila siku.
Shida ni kuwa na mifumo ya utawala rigid. Tunajua kabisa tunazidiana uwezo ila ukiambiwa mpishe mwenzio tunaleta ubishi na u babe. Mchawi wetu ni tabia zetu ambazo Bado hazijatahiriwa
Nothing happens for no reason. Kiprotocali, niambieni nini kinaweza kutoa fursa ya picha kama hii Kwa Mh Mbowe ?
Wote wakae afu Mwamba asimame nyuma peke ake as a king ?
Sio hivyo tu , presida mwenyewe aamuke asimame na mwamba peke Yao kama wafalme wawili wenye mamlaka kamili wamekutana ...
Nothing happens for no reason. Kiprotocali, niambieni nini kinaweza kutoa fursa ya picha kama hii Kwa Mh Mbowe ?
Wote wakae afu Mwamba asimame nyuma peke ake as a king ?
Sio hivyo tu , presida mwenyewe aamuke asimame na mwamba peke Yao kama wafalme wawili wenye mamlaka kamili wamekutana ...
Ulevi ni maladaptive lifestyle. Walichofanikiwa wawekezaji wa huduma za vilabu vya pombe ni kuipromote kama iwe tabia ya wajanja ila ukweli ulevi ni uhuni, uzembe, na hatari Kwa afya.
Kutokua na uwezo wa kukabili presha za maisha ndio chanzo cha tabia yenye urahibu.
Matokeo positive ya ulevi...
Tatizo mawakili na wadau wa sheria hawazijui hata sheria zetu zinasema nini.
Mtu anapewa mamlaka ya kisheria kwenye eneo flani ila hajibidiishi kuzisoma sheria under his jurisdiction .
Leo nimeshangazwa na uwepo wa kifungu hicho kinachozuia utekelezaji wa agizo la kufungua chama Cha siasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.