Mimi ni kijana,33 years,nafanyakazi,mrefu kiasi,sio mweusi sana,mkristo,napenda kuangalia sinema na kusafiri,mazoezi na real estate. Natafuta msichana wa miaka kati ya 24-32 awe mpole na mcheshi,asinywe bia,mkristo,rangi yyte,mrefu kiasi,elimu kuanzia diploma.