Naona tunakoelekea siko kabisa,
- Haiwezekani mtu kwa sababu ya mamlaka aliyo na labda mabaunsa alionao akataze wengine eti wasiongee
- Haiwezekani mtu huyo huyo akaanza kuongea tena wakati mwingine kejeli na lugha chokozi na matisho kwa jirani yake huyo, jirani aendelee tu kukaa kimya bila...