Recent content by Donson

  1. Donson

    Msaada Kuunganisha V8 Bluetooth game pad kwenye PC

    Habari wakuu, Naombeni msaada jinsi yakuunganisha V8 BLUETOOTH GAME PAD KWENYE PC , nmejaribu manual inavyoelekeza Kama nolivyoambatanisha kwenye picha lakini nmeambulia patupu Upande wa PC
  2. Donson

    Msaada Kuunganisha V8 Bluetooth game pad kweye PC

    Habari wakuu, Naombeni msaada jinsi yakuunganisha V8 BLUETOOTH GAME PAD KWENYE PC , nmejaribu manual inavyoelekeza Kama nolivyoambatanisha kwenye picha lakini nmeambulia patupu Upande wa PC
  3. Donson

    John Butler Walden (1939 - 2002) a.K.a ''Black Mamba''- A legend in the Tanzanian army (author unknown)

    Mkuu natafutaga sana historia ya Maj Gen Francis Louis na sijawahi kuipata. Nmeona umemuelezea kidogo Itapendeza utupe historia yake mkuu Natanguliza shukran
  4. Donson

    Aina Kumi Za Waume Ambao Wake Zao Wanakereka Kuwa Nao

    Tupo mkuu, Hii tabia ya mke wajirani kuachiwa pesa ya matumiz na mumewe halafu anafanyia urembo akijua atagongea kwa waifu kisa nahemeaga jumla jumla asee sipendi hii tabia. yani bajet yako umehemea kitu cha mwez mzima nazaidi halafu wiki mbili kimeisha! kumbe nahudumia familia mbili...
  5. Donson

    Chagamoto tunazokumbana nazo wenye matatizo ya kusikia katika jamii, njooni tupeane moyo na namna ya kukabiliana nazo

    Asante mkuu, yaani swala la kuzungunza na watu tunatumia nguvu kubwa na akili nyingi ili tuende nao sawa .
  6. Donson

    Chagamoto tunazokumbana nazo wenye matatizo ya kusikia katika jamii, njooni tupeane moyo na namna ya kukabiliana nazo

    mi pia lilianza taratibu bila mie kujua na nafikiri ni baada yakupigwa drip za kwinini! home walianzahisi nakiburi tu nasemeshwa sijibu, ila badae walielewa maskio hayapo sawa. maskio yangu Yanavisa sana . huwa yanachagua mtu yaani kunamtu ata akiwa mbali tutaongea vizuri tu na...
  7. Donson

    NAWACHEKA WANAUME KILA SIKU KHA

    bila kuungaunga doti unatoka kapa hapa! yaani kama ukuwahi kusoma biblia pale Mwanzo wala kuskiliza mahubiri ya uumbwaji wa hawa viumbe ! aisee lazima utoke kapa tuu.
  8. Donson

    Kwa Wapenzi wa Filamu za Mapigano (Action Movies)

    Hii movie balaa sana ila uwezi amini aikuuza kabisa yani ilkua ni hasara ata gharama za kuitengeneza azikurudi! Wamarekani wanafki sana kisa kwenye movie walipigika sijui, zile zakina chuck noris waveti wanapigwa ovyo ovyo alafu eti huwa awageuki nyuma nakuangalia juu ndio wanazipenda...
  9. Donson

    Mishahara ya Walimu, Madaktari na Polisi, watu wanafaidi

    Nashukuru kwa kunielewa mkuu.
  10. Donson

    Mishahara ya Walimu, Madaktari na Polisi, watu wanafaidi

    Ndio zinang'olewa. sergeant major cheo chake kinavaliwa mkononi tu hana vyeo vya begani
  11. Donson

    Mishahara ya Walimu, Madaktari na Polisi, watu wanafaidi

    polepole bulaza akuna mjuaji kubali kurekebishwa kinachopingwa ni vile ulisema sergent major ana vee 3 na saa mkononi, Cheo kipo ila huo mpangilio wa cheo V 3 na saa ndio haupo . jaribu kupitia jamaa alivyokuelewesha na mimi nilichochangia utaelewa maana sijakosoa tu bali nmelekebisha lkn...
  12. Donson

    Inasemekana huyu ndiye Kapteni aliyepata ajali jana Mikumi

    huyo ndiyo yeye mkuu. wengi hawajakuelewa ila mie nmekuelewa na inawezekana unavyoisi ikawa ndio. niliona jamaa yangu akipost status whatsapp akiweka picha waliyopiga na Mareham na aliandika R.I.P NGOSHA MANGI kwaio huyu marehem anamchanganyiko USUKUMANI NA UCHAGANI. anamuonekano...
  13. Donson

    Mishahara ya Walimu, Madaktari na Polisi, watu wanafaidi

    . kwa hii attachment yako upo sahii ila Muelewe mkuu alichokuuliza na ukubali umekosea . alishangaa umesema sergeant major ana V 3 na na saa mkononi , hua amna cheo cha namna hiyo, ndio akakueleza hamna cheo cha Vee tatu na saa mkononi bali ni Vee tatu na Ua ambae ni Staff Sergeant na...
  14. Donson

    Mishahara ya Walimu, Madaktari na Polisi, watu wanafaidi

    Mkuu kwa jinsi ulivyoandika ni wazi umekosa na unapojaribu kujisahihisha ndio unazidi kukosea. comment yako inavyojieleza ni kuwa kupata nyota tatu si mchezo. na kwakua ulimtaja meja hapo basi moja kwa moja ikaeleweka unaongelea nyota 3 wa TDDF yaani Captain, na ndipo kosa linapoonekana...
  15. Donson

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Shukrani sana mkuu! apa nimeipiga repeat 1 nafikiri nitashinda nayo leo
Back
Top Bottom