Recent content by donot

  1. D

    M23 vs FARDC (DRC CONGO) Mapigano yaanza upya

    watanzania tunaendelea kutengeneza cv ya kuwanusuru watu wanaokufa bila makosa oooooh GOD asante kwa kuwanusuru wakongoman.
  2. D

    Wivu si katai lakini ukifikia hapa....!

    hata vijike likewise
  3. D

    Wivu si katai lakini ukifikia hapa....!

    wapo wengi je, utafanya kwa wangap?
  4. D

    Wivu si katai lakini ukifikia hapa....!

    kwa maisha ya watu wa afrika mashari na kati 86% ya matumizi ya simu ni kwa ajili ya mahusiano ya upenzitamaa na ngono tu kwa hiyo ushauri wangu ni kwamba huyo dada avumilie tu maana huo ni ugonjwa wa wengi na hata katika dunia ya kwanza pia takwimu za kuvunjika kwa ndoa nyingi na uchumba ni...
  5. D

    Mpenzi wako amekujaa kwabahati mbaya?

    mahusiano ya kimapenzi na hata hatima yake ndoa ni kama kazi au ajira.....unaweza kupata kazi katika mazingira mazuri lakin kazi ikawa si nzuri au ina malipo madogo. unaweza ukapata kazi yenye mshahara mzuri lakini katika mazingira mabaya. unaweza kupata kazi mbaya mazingira mabaya na ujira...
  6. D

    Maswali yasiyo ya lazima yanayopendwa kuulizwa na wapenzi wanaume/wanawake!!

    Uko au upo wapi?... ni swali linaloashiria uelekeo wa wivu au kama amekuona ana kupima uaminifu wako...na kwa mantiki za metaphysics mwenye IQ kubwa hawezi kuuliza hivi....ni sawa na baada ya kujua ukweli wa uongo ni maumivu moyoni. Unafanya nini?... ni kama upo au uko wapi....lengo la swali ni...
  7. D

    Eti Wanawake Hutongoza ?

    KUTONGOZA NI NGUVU YA USHAWISHI JUU ya upenzitamaa hata kabla ya dhamira kuu ya ushawishi; iwe ngono au jambo lolote lile, hata unapotaka kupata jambo fulani liwe baya au zuri neno pekee pale ni kutongoza mf; wanasiasa wanatutongoza tuwape kura,askari wanatongozwa na wata ili wapokee rushwa na...
  8. D

    When will TZ Natives have 1st priority to be benefited with Natural resources?

    when i will be the president and you will be my active voter.
  9. D

    Sababu ya wanawake kuzuiwa kuendesha magari Saud Arabia

    naona hapo poa tu mbona hata hapa bongo mnalalamika akina dada wanachagua wenye pesa ndo maana mnaoa wabaya ....sure kuchagua marufuku. mungu ndiyo achaguaye.
  10. D

    Sababu ya wanawake kuzuiwa kuendesha magari Saud Arabia

    ndipo aya ikashuka.....iqraaaaaaaa
  11. D

    Sababu ya wanawake kuzuiwa kuendesha magari Saud Arabia

    ni utamaduni wao kwani wanakosa nini katika utamaduni huo? ni sawa na kuwaambia masai waache kuvaa shuka au wamang'ati wachemshe maji ya kunywa na wakati afya zao ni nzuri tu.
  12. D

    Utaratibu wa kusoma vitabu

    upo sahihi kabisa... ila pia hutegemea na vitabu gani unavyosoma.... ufahamu katika mambo gani hasa ndo muhimu.... kurubuniwa katika lipi maana huwezi kusoma vitabu vyote duniani... na pia hakuna utamaduni ulio mzuri kuliko mwingine na mbaya kuliko mwingine... asaaaaante kwa ushauri.
  13. D

    Hivi wahaya tumewakosea nini Polisi?

    kwani mkubwa neno overtake halina msamiati au neno la kiswahili mimi nadhani mbwembwe nyingi labda hata kabla hajapata taarifa za kumjulisha wewe ni mhaya ulianza kwa misamiati ya kiingereza mingi sana na ikamchosha hata mimi sikulelewa mwanzoni kuoveratake ni nini......tena kwakuwa askari wetu...
  14. D

    Benki si Mahali Salama Tena Kuhifadhi Pesa Zetu!

    usilolijua ni kama usiku wa giza........ benki ni mahali salama pa kukopa na si vingenevyo.
Back
Top Bottom