Recent content by Donking7

  1. D

    JamiiForums Tanzania Israel yaishambulia Iran, milipuko yasikika katika mji mkuu wa Tehran

    Wapo safarini kuelekeza mbinguni
  2. D

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Sekondari Mpaka Chuo Kikuu: Pata Vitabu vya Masomo Mbalimbali Hapa

    Mkuu naomba vitabu vya English language na maths std 1-5
  3. D

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Sekondari Mpaka Chuo Kikuu: Pata Vitabu vya Masomo Mbalimbali Hapa

    Naomba vitabu vya zamani vile vya manenge na mandawa, Sadiki nk. Admin plz nisaidie
  4. D

    JamiiForums Tanzania For JamiiForums Mobile users

    Display ya oppo r7 inahitajika
  5. D

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini Wasabato wanakataza wanawake kufundisha ama kuwa wachungaji wakati wanatumia vitabu vya Hellen G White? Iweje nyama ikataliwe mchuzi unywe?

    Kawailize kama umelijua Hilo basi huenda uliwaasi otherwise angalia vizuri msingi WA biblia inasemaje kuhusu wanawake kufundisha? Mbili elewa tofauti kati ya kuhubiri, kutoa seminar, na kufundisha. Mwandishi WA vitabu ni lazima awe muhubiri? Kama wewe ni mkristo tafuta kumjua Mungu zaidi ya...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Jirani anafuga nguruwe wananikera sana, nifanyeje ili wafe?

    Na wewe Fuga mbwa tena wawe wakali
  7. D

    JamiiForums Tanzania Nyuzi muhimu za mambo mbalimbali yaliyotolewa ufafanuzi Jamvini

    1.Je computer Yako inatumia bando haraka? Yaani 1gb nusu saw tu imekwisha? Comment hapa nikuelekeze 2. Je bado unanunua programs za computer? Tuongee utashangaa Kila kitu buleeee 3. Unachangamoto ya uandisha WA barua ya maombi Kwa kiingereza? Utasadiwa burueeee nimerudi 4. Ufungaji WA madishi 5...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Netanyahu asema amepokea orodha ya Majina ya Mateka Watakaoachiwa na Hamas na Wanazijulisha Familia zao!

    Hakuna ubora Kwa gaidi aliyemteka mwanao...alafu mjue gaidi Huwa Hana Cha kupoteza kifo kwake ni sadaka so mabadilishano yatawanufaisha Hamas maana watapata watu wao waliokuwa lockup siku nyingi
  9. D

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Sekondari - LUSHOTO - Geneva ya Tanga
  10. D

    JamiiForums Tanzania Mafundi wa PC Bongo

    Hujakutana na fundi hata ulaya vishoka wapo Eleza hapa tatizo la PC Yako itakuwa fundi mwenyewe ila ukitakakujua computer siyo redio ifungue alafu utajua boss
  11. D

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Tanga nije same
  12. D

    JamiiForums Tanzania Tupe maoni, ushauri, dokezo: Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Wenye Makundi Maalum

    Kwanza kabisa nipende kukupongeza wewe Mh.waziri Kwa kazi Yako nzuri ya kupigania maendeleo katika wizara hii nyeti Sana ya jinsia na maendeleo ya jamii. Niwe mkweli sijawahi kukufuatilia kama kipindi hiki na wakati ukiwa ktk wizara ya Elimu. You are one of the best leader we have in Tanzania...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Kuwa fundi kwa Computer Yako

    Ukitumia YouTube kujifunza ufundi wa kompyuta nasi Kuwa makini sana na aina ya site unayopata mafunzo hapa ninamaana Kuna site wanaelekeza vitu lkn malengo Yao ni kukufanya uharibu Ili uwatafute. Wengine wanafundisha kwa taaluma ndogo na usipokuwa makini unaweza kujikuta unaharibu kifaa chako...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Kuwa fundi kwa Computer Yako

    Eleza inkuwaje, he inawaka? Je inawaka na kuzima? Je inawaka alafu screen haioneshi? Je unata link ya programs zote bureee Je umechoka kununua antivirus? Tuzungumze uipate Dunia ya technology bureeeee
  15. D

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    nitsfute i13 pro max nikuuzie 0754216055
Back
Top Bottom