Recent content by dongosolo

  1. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa ku unlock Vodafone 875

    Thanks for delivering order no 110, it was amazing service.
  2. D

    JamiiForums Tanzania Fundi simu aina zote (flashing and unlocking) only software problems.

    Nina samsung galaxy duo wanasema imekufa bootloader. can u do it?
  3. D

    JamiiForums Tanzania Fundi simu aina zote (flashing and unlocking) only software problems.

    hiyo ipeleke akaifanyie flashing ili ianze na upya.
  4. D

    JamiiForums Tanzania Fundi simu aina zote (flashing and unlocking) only software problems.

    huyu jamaa yupo kariakoo mtaa wa aggrey na uhuru mtafute kwa namba hii ataku unlockia kwa 10,000/= namba yake ni 0715353108.
  5. D

    JamiiForums Tanzania Fundi simu aina zote (flashing and unlocking) only software problems.

    mh sina hakika kwa hizo simu. ngoja tuone.
  6. D

    JamiiForums Tanzania huawei ascend y200 and sonic online unlock is here!!

    Asanteni sana, maana nimehangaika mno. kupata ufumbuzi. Kweli jamii forums ndio habari ya mjini.
  7. D

    JamiiForums Tanzania huawei ascend y200 and sonic online unlock is here!!

    order placed waiting for unlock code.
  8. D

    JamiiForums Tanzania Fundi simu online system (unlocking,flashing) is officialy up and running please check it out!!!

    Guys I think his idea wont work in Tanzania check it here and u will see. Place A New Phone Repair Order may be few years to come.
  9. D

    JamiiForums Tanzania Fundi simu aina zote (flashing and unlocking) only software problems.

    nyie ndo mnaibiwaga nyie!
  10. D

    JamiiForums Tanzania Fundi simu aina zote (flashing and unlocking) only software problems.

    Fundi ile simu uliyo unlock imezima haiwaki je utaweza kuiflash?
  11. D

    JamiiForums Tanzania Fundi simu aina zote (flashing and unlocking) only software problems.

    Yaani kapata error kuanzia 1 hadi 1024 bado anakomaa tu.?? Ngoja izime kabisa.
  12. D

    JamiiForums Tanzania Fundi simu aina zote (flashing and unlocking) only software problems.

    Bwana hekimatele muulize sirleondavid mwenyewe, nadhani hayo malipo atakua ameisha kula mishikaki muda mrufu sana. teh teh teh
  13. D

    JamiiForums Tanzania Fundi simu aina zote (flashing and unlocking) only software problems.

    mtumie IMEI
  14. D

    JamiiForums Tanzania Fundi simu aina zote (flashing and unlocking) only software problems.

    Nashukuru sana Fundi simu yangu kwa sasa inatumia laini ya mtandao wowote Ubarikiwe.
  15. D

    JamiiForums Tanzania Fundi simu aina zote (flashing and unlocking) only software problems.

    poa bos, nimeona hapo juu, nasubilia code nitalipia hiyo hela.
Back
Top Bottom