Mbona miaka 6 iliyopita ajali zilipungua sana.kwani speed 50 haifuatwi tena? Maana hizi ajali ni too much sasa.ukizingatia na barabara zetu zilivyo hovyo.
Visa ni 384,000/- tshs.internet kama huwezi wewe toa 50 elfu tu.hapo utapata appointment ya interview.ukisha pata visa ndipo ukate ticket.kama huna vigezo vinavyokidhi tumia watu wa michongo.yaani kama hukidhi matakwa ya wamarekani,kama vile muajiriwa,umeoa,bank statement n.k
Mimi,kwa watoto walioungana kama hawa,na wakati huo walikuwa na umri kama hawa,tulifanya mpango wakaenda india,na wakatenganishwa.sasa hivi wapo vizuri kabisa na wana miaka takriban sita sasa.
Ndugu yangu,ukisikiliza ushauri wa wengi humu.utachanganyikiwa.kwanza nikuulize kama mna watoto.kama una watoto,hao ni kiunganishi kikubwa sana kati yenu.huenda nawe pia ktk maisha yako sidhani kama hujawahi kuchepuka.kuna watu wamezaa ndani ya ndoa na bado wakasemehewa na wenzi wao.adhabu hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.