Kwakweli DSTV customer care yao ni A+

Mtuflani Official

JF-Expert Member
Dec 31, 2019
1,936
4,347
Nimepiga simu huduma ya wateja kwenye makampuni mbalimbali hapa Tanzania. Ila niseme tu ukweli DSTV Tanzania kwa customer care wanaongoza. Yaani ukiwatafuta muda wowote wao wanapatikana. Sio makampuni mengine simu za customer care hazipatikani.

Kampuni nyingine baada ya mida ya kazi na upatikanaji wao ndo umeisha. Kwakweli DSTV mmenifurahisha sana!
 
Naunga mkono hoja
 
Nimewahama baada ya kuhamisha mechi za Uefa kwenda kifurushi cha juu bila taarifa
 
Wako njema sana hawa.... Kuna wakati wao wenyewe hunipigia simu kujua kama Nina tatizo... Dstv wako bomba sana
 
Niliwahi piga simu azam akapokea mtoto, shit nikashusha dish nikauza nikafunga Dstv
🤣🤣🤣 mkuu mimi niliwahi kulipia kifurushi kimakosa . Nilifanya malipo ya sh 190, 000 instead of 93, 000. Nikawacheki kirahisi sana kupitia simu ya mkononi . After 72hrs waliirudisha pesa yote na nikaanza process upya.

Nawapa A+
 
Back
Top Bottom